Dar directs Kenya to lift ban on crops

When we banned your fake gas we simply gave condition that you wait until we procure the equipment.
So chill with your products until we come up with screening mechanism to check you up.
 
What you've just quoted was when Tanzania didn't know Kenya's intention. But now we know,"auae kwa upanga, na yeye ata kufa kwa upanga".
 
When we banned your fake gas we simply gave condition that you wait until we procure the equipment.
So chill with your products until we come up with screening mechanism to check you up.
The gas is perfect, ni unyang'au wenu tu, kama ni harufu ikiwa inaleak inanukia vizuri, in fact they're hard to leak, we unadhani mpaka wananunua ya Tz ni kwamba hawazijui za Kenya, wanazijua sana sema ndio hivo tumewazidi ujanja, mkaamua kuleta uhuni, sasa serikali ya Tz imesema itaretaliate or else you follow our directives, and as we all knew you must adhere to our directives otherwise you have a lot to loose, soma hapa Kenya kununua mashine ya kukagua ubora wa gesi inayotoka Tanzania
 
When we say we have banned your gas until we find ways to regulate...ohh wakenya wana wivu, wakenya wanachuki...ohh sijui wakenya wanawivu.....
When we finaly announce that we plan to buy equipment that will allow the gas to pass through our borders .. Bado mnaleta uzushi, sass mwataka mfanyweje, do you remember when Tz chased out Kenyans without work permit? Alafu tulipo wauliza mkasema lazma kila mtu afuate Sheria, sass mbona vigeu geu hivi? Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu uchungu!
 
Nafikiri imefikia hatua ya kujua mbivu na mbichi sio kila siku mnabembelezwa kama wanawake, kama vipi tumwage tu kwani hata tulipofungiana mpaka 1977 si kila mtu alibaki kwake na hatukufa.
Mkuu huu ni mnyukano wa kijinga, wote tunategemeana, ni ujinga kutesa wakenya bila sababu, vilevile kukwaza wafanyabiashara wa ngano wanaathirika bila sababu
 
Nafikiri imefikia hatua ya kujua mbivu na mbichi sio kila siku mnabembelezwa kama wanawake, kama vipi tumwage tu kwani hata tulipofungiana mpaka 1977 si kila mtu alibaki kwake na hatukufa.
Mambo yamebadilika,leo sio 1977.

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Huu si ulikuwa mali yenu ama? Nani anamtafuna mwenzake!

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Ati Dar imedirect Kenya? Direct how?

Hebu nitafute dictionary.......niconfirm to "direct" ndio kufanya nini? This cannot be!

Since when did Tanzania start dictating to Kenya what to do?
Now . Si mlizoea mteremko huko zamani, kila kitu kizuri cha bongo mlikuwa mnatangazia wazungu ni chenu!!!! sasa siku hizi kila mtandao tupo ,, na hako kalugha cha malkia alhamdululah english medium zimeshazawazisha mambo sio kama zamani,, hivyo mkidanganya tunawajibu huko huko kwa wazungu wenu na vielelezo...sasa hivi mnaonekana waongo....wanafiki dunia nzima.... mkimwaga mboga sisi tunamwaga ugali halafu tuone kama mwaweza kuishi bila kuitegemea giant Tanzania
 
Miaka hiyo ardhi ilikuwa mikononi mwa nani na sasa hivi iko mikononi mwa nani na mko wangapi? Wacha katiba iwatafune.
 
Hata sisi tuna maziwa mengi mnaleta mziwa yenu ambayo ni bei kubwa na haya originate Kenya. Hata Kenya Airways nayo ni tawi la KLM ya uholanzi nayo isiwe considered kama ina originate Kenya maana ina ugeni. Hata hizo tyres siyo za Kenya ni watu kutoka huko wanapitia Kenya. Kwahiyo ni fair kupeana ban mtu asilalamikie mwingine.
 
Hiyo hatuna haja ya kuidai maana tunapiga hela sana ikiwa hapo ilipo, 'come view mount Kilimanjaro in Kenya'. Mivivu bado imelalalalalala!!!!!

Mkubwa mbona unaniangusha tena? Hivi pesa ya kuview na kupanda ipi inaingia nyingi?

Kitu nnachokubaliana na wewe ni kwamba, hatujaweza kutumia vivutio na rasilimali zetu ipasavyo, kuzitangaza na kufaidika nazo.

Nakuhakikishia japo robo ya huu utalii ungekua Kenya, tungekua tunaongelea mengine.
 
What then is the point of harmonizing standards across the region? A quality mark from the Tanzania Bureau of Standards should be just as good as one from KBS. Kama gesi inauzika TZ basi na Kenya itauzika, and that's how the common market works!
 
Hivi mwandishi anajua maana ya 'direct'?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…