Dar es Salaam BRT is a massive failure. What can Nairobi learn?

Stop it bro....
Bus fare for BRT in Dar in that 21km is 650/=Tsh which is equal to 30/=Ksh that's only only one way, so go and return its about 1300/=Tsh which is equal to 60/=Ksh

While Daladala is more cheap than BRT which costs about 400/=Tsh which is equal to 19/=Ksh.....
This daladala costs same applies to Commuter Train from Pugu, Ubungo to CBD and Pugu to Tazara
 
Mwendelezo wa akili fupi, Sijui amelinganisha na wapi tena wakati sisi ndio tunabenchmark Kiswahili duniani kote

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa akili fupi sana
Anataka kujifanya anajua kiswahili kuliko mvumbuzi wa lugha, actually wacongo wanaongea better than Kenyans.

Ukisikia media zao jinsi wanavyoboronga kiswahili hata watanzania hawaongei broken English kiasi hicho.
 
Unaonekana hata unacho zungumza hukijui....kwani BRT iliondoa daladala? Kama kuna usafir watu wanaupenda na unatumiwa sana ni BRT ilo kusanyiko ni jibu tosha ....hakuna mfumo mpya usio na changamoto zake...nyie pambaneni na matatu zenu
 
Nyie ndio mlipaswa kujiuliza hao watalam wenu walio kuwa wanaishauri serikali yenu kupaka rangi pale thika na kuandika brt ndio memaliza sasa mnayo brt [emoji23][emoji23][emoji23] pasipo kujua BRT ni mfumo mzima
 
Failure kwa sababu demand ni kubwa kuliko uwezo wa aliyepewa tender ni mmoja ..kwa hiyo cha kujifunza hapo nairobi ni mjaze migari lundo na wawe supplier tofauti walau wawili per route ili kuleta ushindani na ubora wa huduma ...... Hapa Dsm serikali imekuwa wazito kiruhusu supplier mwingine aingie na wameshikilia mibasi kibao bandarin coz aupplier wa kwanza hajalipa ushuru
 
Unaonekana hata unacho zungumza hukijui....kwani BRT iliondoa daladala? Kama kuna usafir watu wanaupenda na unatumiwa sana ni BRT ilo kusanyiko ni jibu tosha ....hakuna mfumo mpya usio na changamoto zake...nyie pambaneni na matatu zenu

Wewe utakua umeganda kijijini haujui nini kinaongelewa kwenye huu mradi.......waulize kama una ndugu wanaotumia huo usafiri kila siku, mimi nazungumza kuhusu kero nilizoshuhudia na sio mara moja, yaani kila nikitaka kuyatumia.

hivi unajua mchana gari hukosa abiria mpaka zipaki.

jioni si BRT tu, hata daladala huzidiwa na wingu wa abiria, kama muwekezaji ameona fulsa achukue huoko kwenye daladala.
 
unaleta video ina mwaka kwenye mada ya leo, wakati tatizo liliishatatuliwa.

unaweka rehani malinda yako falla wewe.
 
Unaonekan hujui kitu zaid ya blabla nyingi ....tatizo lilikuw kimara sabab ya kuanzishwa kwa express huduma , unakuta bas linatoka kimara brake ni kivukoni au Kariakoo ...ina vuka abiria hapa katikat ...sasa hili mbona lilisha fanyiw kazi mda sana ....km nilivy kwambia new system come with its issues.....so tuliza kende
 
hivi unajua mchana gari hukosa abiria mpaka zipaki.

jioni si BRT tu, hata daladala huzidiwa na wingu wa abiria, kama muwekezaji ameona fulsa achukue huoko kwenye daladala.
Chief kama ni mkazi wa dsm nq unapanda Brt hupaswi kutetea udhaifu wao
 
Wewe utakua umeganda kijijini haujui nini kinaongelewa kwenye huu mradi.......waulize kama una ndugu wanaotumia huo usafiri kila siku, mimi nazungumza kuhusu kero nilizoshuhudia na sio mara moja, yaani kila nikitaka kuyatumia.

Hii kiswAhili ya Dar huwa funny sana,
Hahah
 
pombe za kienyeji zinakuua akili
 
unaleta video ina mwaka kwenye mada ya leo, wakati tatizo liliishatatuliwa.

unaweka rehani malinda yako falla wewe.

Mbona video za 2020 zipo, halafu hadi leo mnauita mradi mpya ilhali wenyewe upo tangu enzi za Kikwete, mumeshindwa kuuboresha ni full kero, Waafrika bana.
 
Mpuuzi huyo sababu akihotoa eti watu wanachukua mda mrefu station hiyo siyo failure but imeonyesha uhitaji wake ni mkubwa ndo maana watu hulundikana na hii ina maana mabasi yanatakiwa kuongezeka na kama haiwezekani ina maana njia mbadala ni kuweka treni ndogo ndogo zintengenezewe barabara kama za BRT na hizo treni hubeba 100 - 300 kwa mkupuo na mwendo wake ni salama na inauwezo wa kusimamia haraka kidogo so it's all about what is failure in his head by definition.
We jamaa sijui huwa unawaza na nini.husemi sababu ya kueleweka kwanini brt imefeli wakati zinaendelea kutoa huduma kama kawaida.
 
Alfu hyu 254 anabisha tu kukuzingua ila anajua ukweli demand ni kubwa. Alafu isitoshe population ya dsm ni zaidi ya 5mil people ni zaidi ya jiji lolote Afrika Mashariki. Uwezo wa jiji kuhudumia watu ni sio mdogo ila ni wa changamoto kufika malengo
 
Mbona video za 2020 zipo, halafu hadi leo mnauita mradi mpya ilhali wenyewe upo tangu enzi za Kikwete, mumeshindwa kuuboresha ni full kero, Waafrika bana.
hata january 2020,ni 2020 hiyo hiyo.

swala ni moja tatizo bado lipo au limetengemaa, pamoja na janga la corona kupiga mfumo wake wa upatajia faida BRT haikuona ni sawa tu kuacha kutoa huduma, lilibeba level seats na kujipatia shiling elfu 14 tu kila gari ambazo hazikutosha hata kununua mafuta ya oneway route kimara to kivukoni.

sisi kama wana dsm, tunajivunia mwendokasi, ndio sababu iliposumbua hatukukaa kimya, mpaka mshika tenda akaingia matatizoni. kazi kwenu ambao hata hamjui 1km ya BRT system inacost time, money, power kiasi gani,mkajaribu kutia rangi kwenye barabara za kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…