Nimzito kuelewa....[emoji23][emoji23][emoji23]Alfu hyu 254 anabisha tu kukuzingua ila anajua ukweli demand ni kubwa. Alafu isitoshe population ya dsm ni zaidi ya 5mil people ni zaidi ya jiji lolote Afrika Mashariki. Uwezo wa jiji kuhudumia watu ni sio mdogo ila ni wa changamoto kufika malengo
Hakuna kiswaili kibovu na kibay kama kinacho ongew kenya ...mtu mpka unajiuliza asa uyu dem mbona anaongea kama men?[emoji23]Hii kiswAhili ya Dar huwa funny sana,
Hahah
mimi niko DSM natumia BRT kutokea kigamboni mpaka morocco kila siku.Chief kama ni mkazi wa dsm nq unapanda Brt hupaswi kutetea udhaifu wao
Dar is among of top 3 fastest growing city in Africa, the population density is near out of control.We have been told many times that Dar BRT is a success story. But is that really the case? According to people who actually use it, the BRT is a failure that requires complete overhaul.
The buses and stations are crowded more than an Indian train station. Travellers are worried of contracting TB.
The waiting times are extraordinarily long. Paper ticketing no longer works.
As Nairobi prepares to launch its own brt on several corridors, how can we prevent the mistakes of Dar?
This is a report by ITV.
As expected, it has performed very poorly on YouTube with only 300 views. Nafikiri ni kwasababu sio video ya kuimba sifa za rais dokta John Pombe Magufuli, na serikali ya awamu ya tano.
I trust in few years to come even NRB will lagg behind DSM in term of infurustructure
kwa sasa tayari tuko 51 wao wana 49[emoji38][emoji38][emoji38].Dar is among of top 3 fastest growing city in Africa, the population density is near out of control.
Moreover there are so many projects in the city to improve infurustructure that can accommodate the population. By doing so several roads have been diverted forcing people to go through few open roads.
I trust in few years to come even NRB will lagg behind DSM in term of infurustructure
hata january 2020,ni 2020 hiyo hiyo.
swala ni moja tatizo bado lipo au limetengemaa, pamoja na janga la corona kupiga mfumo wake wa upatajia faida BRT haikuona ni sawa tu kuacha kutoa huduma, lilibeba level seats na kujipatia shiling elfu 14 tu kila gari ambazo hazikutosha hata kununua mafuta ya oneway route kimara to kivukoni.
sisi kama wana dsm, tunajivunia mwendokasi, ndio sababu iliposumbua hatukukaa kimya, mpaka mshika tenda akaingia matatizoni. kazi kwenu ambao hata hamjui 1km ya BRT system inacost time, money, power kiasi gani,mkajaribu kutia rangi kwenye barabara za kawaida.
Thank you for proving that BRT is more expensive than commuter rail. Nice to see you have come around to my point which you proved by trying to argue against it.Stop it bro....
Bus fare for BRT in Dar in that 21km is 650/=Tsh which is equal to 30/=Ksh that's only only one way, so go and return its about 1300/=Tsh which is equal to 60/=Ksh
While Daladala is more cheap than BRT which costs about 400/=Tsh which is equal to 19/=Ksh.....
This daladala costs same applies to Commuter Train from Pugu, Ubungo to CBD and Pugu to Tazara
Bora ukae kimya huelewi chochote kuhusu BRTHiyo BRT ni mradi ulioangukia pua, mamia ya Watanzania wengi huomba zirejeshwe daladala za kawaida, niliwahi kujaribu kuitumia mara kadhaa ila kila nikikata tiketi najikuta nashuka nje ya kituo na kwenda kutafuta usafiri mwingine. Tatizo la hawa watu walivyolemazwa na ujamaa, huwa hawaambiliki.
endelea kujiliwaza ulale.Tatizo bado lipo na ndio linazidi kutokota, watu wanalia sana maana ni kama mumewatelekeza hamjali tena, limradi liliachwa lijifie.
izo ni swagaa jombaaKiswahili cha Watanzania ndio huwa inanichekesha. Wanalegeza ulimi kabisa na kuvuta maneno.
Hapana ndugu hata ulaya wenzetu wanautararibu mzuri na vyombo vipo vya kutosha bila kujali peak hours au ni muda wa abiria wachachemimi niko DSM natumia BRT kutokea kigamboni mpaka morocco kila siku.
siku hizi imekuwa ni kawaida kabisa kukuta saa mbili moroco haina abiria hata 20 wakisubiri gari.
Huyu jamaa arudi darasani...Kiswahili cha Watanzania ndio huwa inanichekesha. Wanalegeza ulimi kabisa na kuvuta maneno.
Kwa ajili ya upinzani umeongea vizuri, kwa uhalisia jaribu kuwa a living thing rather than an opposite of it. Nipongeze nimeweka kikenya kilichowasaidia kuwa nchi iliyoendelea zaidi duniani kwakujua kigeni.Hiyo BRT ni mradi ulioangukia pua, mamia ya Watanzania wengi huomba zirejeshwe daladala za kawaida, niliwahi kujaribu kuitumia mara kadhaa ila kila nikikata tiketi najikuta nashuka nje ya kituo na kwenda kutafuta usafiri mwingine. Tatizo la hawa watu walivyolemazwa na ujamaa, huwa hawaambiliki.