Dar es Salaam City in Photos

KENYAN UCHUMI SUPERMARKERT
 
mkuu tuweke na picha za mbagala, mbande, charambe, chamazi, temeke, mtoni, mtongani, yombo...tandale, tandika, manzese, mwananyamara, jangwani mana huko nako ni dar na watu wapo.
 
Ndinda hapo juu hiyo Kenya Uchumi Supermarket imeingiaje? i though it supposed to be Dar or generic Tz photos???
 
Ndinda hapo juu hiyo Kenya Uchumi Supermarket imeingiaje? i though it supposed to be Dar or generic Tz photos???

mkuu hiyo uchumi store ya kenya ipo DAR ES SALAAM pale quality center mall, hivyo basi ni foreign business in our city, hamna ubaya, au unasemaje mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…