Dar es Salaam City in Photos

Dar es Salaam City in Photos

mg_0016.jpg
 
du vidumu kibao, yaani utafikiri magari nayo yamefunga mwezi wa ramadhani, teh teh bongo kweli tambarare
 
kabisa, lawama zote kwa hao wanaohusika
 
Mkuu, Asante sana kwa picha nzuri..... Naomba ufafanuzi hii picha imepigwa je maana imenichanganya kidogo


mkuu hii picha imepigwa kutoka kwenye roof top kariakoo na masela waliokua wakiselebuka huko juu, utaalamu uliotumika hapa hata mimi sijui ila tunaweza kuiweka kule kwenye photographers corner hapa JF kuna wadau watade kule wanaweza kutufanyia uchambuzi, pia kwa issa michuzi kuna libeneke la taswira zetu, mkuu issa mithupu (michuzi) anaweza pia kutupa dondoo,



Taking on the City by Afton_Halloran, on Flickr


Dance! by Afton_Halloran, on Flickr


DJ by Afton_Halloran, on Flickr


Dar es Salaam, Usiku by Afton_Halloran, on Flickr
 
Bayaa utadhani majengo yamejiotea kama uyoga
 
Yakitokea ya Japan patachimbika mjini (Mungu aepushie mbali).


Mbona ya Japan hayatishi sana ukizingatia hatuko chini ya usawa wabahari kivile , so Tsunami ikija ndio ita damage ila sio kama Japan, mimi najiuliza kwa ujenzi huo ulio na rushwa na ubahili wa kuto zingatia vigezo , je yakija ya HAiti ? , kutakua hapatoshi.
 
Back
Top Bottom