Dar es Salaam City in Photos

Dar es Salaam City in Photos

Hebu acheni kujidanganya hapa. Wekeni picha za ukweli. Be real.


nani kakuambia tunajidanganya? sasa picha za ubalozi wa marekani uliopigwa bomu ndio unakufanya wewe uwe real? dont be sensitive bro, post any photo you like

Yaani katika picha zote nilizoweka umeona moja tuu?
 
Jiji la Dr Maeneo ya City Centre hukosa hadi Watemeaji wa Miguu.
Huwa ni Wachache mno hupita njia zingine kama hapo tuonavyo

hapa sijui ilikua sikukuu au week end, pako kimya sana , ila kuna msela pale sijui ni mlinzi au fundi viatu, teh teh
 
08_11_fhzrh5.jpg
 
Back
Top Bottom