Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanaona magorofa ni maendeleo ila tusipoangalia tutajikuta kunakuwa kama mumbai,india.
Serikali wangekuwa kweli wanajali wangenunuwa nyumba zengine za chini kariakoo wakatengeneza park za watoto kucheza na maegesho kibao ya magari hata kwak uwalipiza wanaokaa kwenye ma flat. Miundo mbinu mibovu itakuja kuleta umasikini mbaya kama wa india.
Manzese mbona haionekani na mbagala
