Dar es Salaam City in Photos

Dar es Salaam City in Photos

by mustafa hassanali http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=430948&page=72

284657_10150718484240507_768985506_19391218_7357348_n.jpg
 
Nimekuja kugundua kuwa city center bado kuna viwanja vingi sana,hasa kwa jinsi maghorofa yanavyoporomoshwa.
 
Nimekuja kugundua kuwa city center bado kuna viwanja vingi sana,hasa kwa jinsi maghorofa yanavyoporomoshwa.

maeneo mengi bado yapo wapi na husababisha skyline ya bongo kuwa na mapengo kibao, cha muhimu ni kujenga miundombinu itakayopambana na misongamano na majengo mengi ya office yatajengwa katikati ya jiji na kupunguza vurugu za ardhi maeneo mengi jijini dar es salaam,
 
I pray that may our country overcome all its problems and i quote" TZ is the best"
 
Magorofa yanajengwa bila ya mpangilio hata barabara hazionekani....Viongozi wetu kila siku wanasafiri kwenda nje lakini sijui wanajifunza nini huko?

Hata miji ya waafrika wenzetu inatushinda!

abuja-7.jpg
Abuja

Johannesburg-city.jpg
J'burg
 
Huo ni ukweli, Dar ni jiji la 9 duniani kupanuka, kukua kwa kasi na population kuongezeka, ni sifa ambayo siwezi kusema ni mbaya! But, tatizo ni kuwa, serikali yetu inashindwa kukabiliana na matitizo yanayotokea katika mabadiliko haya ya kasi kubwa. Mahitaji ya umeme yanaongezeka..TZ ni nchi ya 3 Africa kwa kuwa na mahitaji mengi ya umeme! Bado **** mradi wa New kigamboni pawe mji mkubwa wa Africa. Man! Vizazi vijavyo vina raha somhw! Tatizo sio kila mtanzania anaona kuna manufaa ktk mabadiliko hayo! God bless TZ!
 
Hebu acheni kujidanganya hapa. Wekeni picha za ukweli. Be real.


nani kakuambia tunajidanganya? sasa picha za ubalozi wa marekani uliopigwa bomu ndio unakufanya wewe uwe real? dont be sensitive bro, post any photo you like
 
Back
Top Bottom