Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
01. Dar es Salaam City Centre by stuart.hutchinson, on Flickr
![]()
![]()
wizara ya mambo ya ndani (chini)
![]()
jiji la bongo linakua kwa kasi ni miongoni ma majiji 10 yanayokua kwa kasi duniani, bongo ni ya 9,
je unashauri nini kifanyike kuepuka matatizo ya urbanization?
Hivi pale Jangwani, Mwananyamala, Buguruni na Manzese sio sehemu ya jiji? Tuwekeeni na picha za uwanja wa fisi na kwa Mtogole jamani!!!
Ps unaweza kupost na wewe pia, na hakuna jiji duniani lililo na maghorofa tuu na hakuna asiyejua majiji ya duniani ya tatu kuwa yamejaa slums na ni machafu,Ili kufahamu kama jiji linakua kwa kasi, tuchukue picha kutoka kila upande wa Dar es salaam yaani Manzese, Mburahati, Mbagala kiburugwa, Kawe Mzimuni, Gongo la mboto, Kipunguni, Pugu kwa lala na maeneo mengine mengi. Ukionyesha city centre utawa-mislead watu na kuamini Dar ni ghoroga tupu. Hapo mwaonaje?