Tulipaswa kuanza kuhangaika na infrastructures! Barabara, integrated sewerage system, planning kujiandaa ku-cope na growth rate ilitakuwa forecasted!! Mfumo wetu hauruhusu haya yote kazi ni kuchakachua na wizi kwenye kila public projects!!
Dar in 20 years to come will be a disastrous city in the world!