Dar es Salaam City in Photos

Dar es Salaam City in Photos

BY TANZAN Dar es Salaam and Zanzibar | Tanzania | City Gallery - Page 95 - SkyscraperCity

1024.jpg
 
jengo hilo hapo juu ni IT plaza 12 storeys, lipo linaelekea kukamilika na hili hapa chini linaitwa city plaza lipo karibu na club bilcanas na lina ghorofa 22 picha na tanzan SSC FORUMER Tanzania - SkyscraperCity
1024.jpg
 
[video=youtube;T-KEez7nxFc&feature=player_embedded]http://www.youtube.com/watch?v=T-KEez7nxFc&feature=player_embedded[/video]
 
 
Last edited by a moderator:
Tulipaswa kuanza kuhangaika na infrastructures! Barabara, integrated sewerage system, planning kujiandaa ku-cope na growth rate ilitakuwa forecasted!! Mfumo wetu hauruhusu haya yote kazi ni kuchakachua na wizi kwenye kila public projects!!

Dar in 20 years to come will be a disastrous city in the world!
 
hofu yangu kama tumejianda na majanga ya moto
je zima moto lina iwezo wa kurusha maji ya kuzima moto gorofa ya mwisho in case ikiwa inaungua ni hayo tu.
 
KIJITONYAMA LUTHERAN CENTER KLC
005_JENGO.jpg
 
Haka kajamaa kameshuhudia mabadiliko mengi. IPS building kalikuwa ni ka-bar fulani. Watu walikuwa wanadunda na "Beetles"

askari_1961_.jpg
 
Back
Top Bottom