kijanaa wa maro
Member
- May 22, 2013
- 8
- 2
Tatizo la Dar es salaam viongozi wanaangalia ni wapi watapiga ela nao wajenge majengo yao holela, hakuna anayefikiria miundo mbinu kabisa.Hapa umelonga kaka, mimi nilikuwa NAIROBI juzi tu na niliingiwa na wivu sana. Yaani tuna viongozi maboga kabisa
View attachment 27394
angalia hiyo majengo mengi yanazidi kujengwa, vipo huko chini, barabara na sewage system, pia mradi wa mabasi yaendayo kasi unaendeleaje kwa aliye na data, asante
Ni kweli pia ni kati ya majiji unplanned,nashauri ingefaa wangeunganisha Bagamoyo,kibaha na sehemu ya morogoro na sehemu ya tanga then utengenezwe satellite city(jiji la kisasa ambalo ni planned),halafu zihamishwe wizara zote zihamishiwe huko kwani ni dhahiri KUHAMIA DODOMA nadhani imekuwa ngumu.
NB; mfano mzuri Nigeria walihamisha mji mkuu toka LAGOS hadi ABUJA.
yaani hakuna hata moja la mtu wa ukoo wangu analimiliki umaskini ni mmbaya sana ila nitajitahidi kuchakachuwa
:smile-big: