huwa kama mbagala najiuliza huwa watu ni wengi halafu daladala chache,kila siku lazima vikumboSafi sana, halafu msongamano wa watu ilikuwa hakuna kabisa!!! Mabasi yetu yale unakumbuka tunapanda kwa mstari, kwa ustaarabu kabisa!!! Aise leo hii tunapitia madirishani, tena hatuwezi vijana wanatupiga vikumbo!!!
TASWIRA MBALIMBALI ZA JIJINI DAR ES SALAAM
Picha juu ni taswira za maeneo mbalimbali ya jijini Dar Es salaam, kama zilivyo pigwa na mpiga picha wetu
Mwambie 'mpiga picha' arekebishe tarehe na saa kwenye camera yake....
Hiyo picha ya pili sio picha ya mwaka 2010.....!!
Mwambie 'mpiga picha' arekebishe tarehe na saa kwenye camera yake....
Hiyo picha ya pili sio picha ya mwaka 2010.....!!
I cant wait coming over there.By the way which is the best place to visit in Dar?Welcome to Dar es salaaam!
Best restaurants in town, superb beaches in the southern and northen parts of Dar es salaam, and the night life is amazing! Downtown has top notch restaurants with killer view of the city, Eg Akemi revolving restaurant, rapsodys at viva tower, samaki samaki and dont forget capetwon fish market outside the city, if you wish to go loval, then Dar probably the best place to enjoy local swahili food!I cant wait coming over there.By the way which is the best place to visit in Dar?
chawachawa ntacomeBest restaurants in town, superb beaches in the southern and northen parts of Dar es salaam, and the night life is amazing! Downtown has top notch restaurants with killer view of the city, Eg Akemi revolving restaurant, rapsodys at viva tower, samaki samaki and dont forget capetwon fish market outside the city, if you wish to go loval, then Dar probably the best place to enjoy local swahili food!