Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
huwa kama mbagala najiuliza huwa watu ni wengi halafu daladala chache,kila siku lazima vikumboSafi sana, halafu msongamano wa watu ilikuwa hakuna kabisa!!! Mabasi yetu yale unakumbuka tunapanda kwa mstari, kwa ustaarabu kabisa!!! Aise leo hii tunapitia madirishani, tena hatuwezi vijana wanatupiga vikumbo!!!