Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nairobi wana majengo marefu kadhaa, ambayo DAR bado haina, lakini baada ya miaka mitano Dar itakua na majengo marufu kibao na ya kisasa kulinganisha na ya NAIROBI ambayo mengi ni ya muda mrefu, mfano times tower ghorofa 38, ndio jengo refu kuliko yote AFRICA MASHARIKI NA KATI, ila halina muda mrefu kabla halijakua replaced na jengo ambalo lina ghrofa zaaidi ya 56 addis ababa, kuna majengo pacha ghorofa 35 yanajengwa sasa hivi jijini dar karibu na JM MALL barabara ya sokoine, na lingine lenye ghorofa 30 linaitwa RITA TOWERS, litabadilisha jiji la Dar kwa ujumla, Dar ni kubwa na ina matatizo ya foleni.Haya ni maendeleo yana gharama zake nazo ni kama miundombinu mibovu kwa jiji linalokua kama Dar,WAKENYA WANADAI NAIROBI NDIYO JIJI KUBWA EAST AFRICA HATA KATIKA MTANDAO WANAJITAMBULISHA HIVYO NISAIDIENI KWA WALE WALIOFIKA NAIROBI HAYA MANENO NI YA KWELI?.
MBONA MIMI NILIFIKA NA KUKAA MWEZI MZIMA NA NILIBAHATIKA KUUTEMBEA MJI WOTE KWA MIGUU,JE HII INAWEZEKANA KWA DAR?.NAMNA GANI TUWAJULISHE HAWA WENZETU WASIENDELEE KUJIGAMBA HIVYO.
UKWELI JIJI LA DAR NI KUBWA SANA NAIROBI INAINGIA MARA 2.
Yaani wanaharibu kweli, wangekua wanawapangia maeneo na kila mtu akijenga afute sheria mfano nyumba zieleekee upande flani, waache njia ya kutosha kupita magari na huduma zingine za dharura, pia jiji lingependeza hata kama hakuna majengo marefu ila makazi yamewekwa vizuri na yana mpangilio.Ndinda umeweka structures nzuri na zinapendeza. Cha muhimu hapa ni kujiuliza wanaofanya kazi katika majengo haya wanaishi wapi!!??? ...definitely in surrounding neighborhoods ambako kusema kweli hakueleweki, mtu anafanyia kazi PPF Tower lakini ukienda nyumbani kwake mpaka anunue 4WD inaingia akilini??
Juzi tu nilenda Mbagala sehemu inaitwa 'SAKO', kuna maeneo mazuri sana kwa maana ya tambalale lakini eneo lote ni unsurveyed na litaishia kuwa squatters wakati miaka yote budget ya wizara ya ardhi inajumuisha maafisa ardhi wa wilaya sasa najiuliza hawa jamaa mpaka inakuwa hivi wanafanya nini?
Cha muhimu hapa ni overhauling ya miji yetu (na sio DSM pekee)! Magufuli amejaribu kuanza wakafanya waliyofanya ila vilio ambavyo Magufuli angesababisha leo, miaka 10 ijayo vitakuwa mara 20. Tatizo ni MAGAMBA!
dar inakua ila tatizo ni kua wanaoplan miji bongo wao less focused.
nasema hvi kwa sababu, hawaangalii vitu vingi vya muhim vyakuwezesha jiji kukidh ukuaji huo.
mfano kama ofisi zipo mno sehem moja, angalau wajenge majengo yenye hadhi maeneo ya nje
ya jiji uondoa ulazima wa watu wengi kuelekea sehem 1 kwa wakati mmoja.
pilii htaa kama hatuna uwezo kwa sasa lakini vitu kama barabara viwekewe hifadhi za kutosha ili uwezo utakapo
patikana kuwe na eneo la kuboreshea hizo barabara,sasa hivi zoezi la bomoa bomoa linataka kuxzua vita
kwa sbsbu hii.
sehem za starehe zisiwe concentratyed pia.mfano kwa sasa viwanja viwili vyote cha kisasa na kile cha zmanai (wanakikarabat kiwe cha kisasa) vyote vipo mahali pa 1
tatuu wapime viwanja aeneo yote ya dar na nje ya karinu na dar, kwa ajili ya makazi, biashara, au viwanda yatakayokua yamepangwa na si hollela kama sasa.
kama kawa, appreciate that