Dar es Salaam City in Photos

Kwa uzuri wa picha za kupiga kwa juu tu . Lakini ukweli jiji ni chafu sana.
Ndio maana ikaanzishwa sheria kila jumamos kila mmoja asafise mazingira yanayomzunguka, kuweka jiji kua safi hata wewe linakuhusu na toka sheria hii inatekelezwa imesaidia kwa asilimia 60 jiji kua safi
 
Zaidi ya uchafu jiji lina harufu mbaya sana hilo
Ndio maana ikaanzishwa sheria kila jumamos kila mmoja asafise mazingira yanayomzunguka, kusafisha jiji kua safi hata wewe linakuhusu na toka sheria hii inatekelezwa imesaidia kwa asilimia 60 jiji kua safi,
 
Magufuli ameweza tumpongeze
 
Samahani hii picha ni mwaka Gan?
 
Yakitokea ya Japan patachimbika mjini (Mungu aepushie mbali).
Yaani lile ghorofa la katikati ya mji nasikia liliporomoka baada ya jamaa mmoja aliyekuwa na 'kikohozi' kubanja kwa nguvu alipokuwa akikatiza pale, na mliona vifusi vyake vilivyokuwa vimelundwa pale jangwani utafikiri ni machimbo ya mchanga. Sasa likija tetemeko kama Japan itabidi kupima upya viwanja maana patakuwa level!
 
Ndio maana ikaanzishwa sheria kila jumamos kila mmoja asafise mazingira yanayomzunguka, kuweka jiji kua safi hata wewe linakuhusu na toka sheria hii inatekelezwa imesaidia kwa asilimia 60 jiji kua safi
Hiyo hatukatai baadhi ya sehemu ambayo yamefanyiwa usafi na wanaoishi sehemu hizo ni safi na ni aslimia 20 tu. Mwenzetu wewe unakataa kuwa jiji bado ni chafu sanaa kulinfanisha na heshima yake ?
 
majengo yote hayo yapo scattered sehemu mmoja, tuletee na za vingunguti, bugurini na mbagala
 
Bahati nzuri dar haiwezi kukumbwa na tetemeko la ardhi, sio potential site inayoweza kupigwa na earthquake.
 
Mkuu hii ni Masaki? Mbona imepangika vizuri sana aisee? ama kweli ndo maana bongo kila mtu anamvizia mwenzake.
 
Hiyo hatukatai baadhi ya sehemu ambayo yamefanyiwa usafi na wanaoishi sehemu hizo ni safi na ni aslimia 20 tu. Mwenzetu wewe unakataa kuwa jiji bado ni chafu sanaa kulinfanisha na heshima yake ?
hebu yapime maneno yako vzr
 
nasema jiji la DSM litapoteza hadhi yake miaka 10 ijayo endapo tu viunga vya pembezoni havita jengwa kwa plan nzuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…