Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zaidi ya uchafu jiji lina harufu mbaya sana hiloKwa uzuri wa picha za kupiga kwa juu tu . Lakini ukweli jiji ni chafu sana.
Ndio maana ikaanzishwa sheria kila jumamos kila mmoja asafise mazingira yanayomzunguka, kuweka jiji kua safi hata wewe linakuhusu na toka sheria hii inatekelezwa imesaidia kwa asilimia 60 jiji kua safiKwa uzuri wa picha za kupiga kwa juu tu . Lakini ukweli jiji ni chafu sana.
Ndio maana ikaanzishwa sheria kila jumamos kila mmoja asafise mazingira yanayomzunguka, kusafisha jiji kua safi hata wewe linakuhusu na toka sheria hii inatekelezwa imesaidia kwa asilimia 60 jiji kua safi,Zaidi ya uchafu jiji lina harufu mbaya sana hilo
Magufuli ameweza tumpongezeNi kweli pia ni kati ya majiji unplanned,nashauri ingefaa wangeunganisha Bagamoyo,kibaha na sehemu ya morogoro na sehemu ya tanga then utengenezwe satellite city(jiji la kisasa ambalo ni planned),halafu zihamishwe wizara zote zihamishiwe huko kwani ni dhahiri KUHAMIA DODOMA nadhani imekuwa ngumu.
NB; mfano mzuri Nigeria walihamisha mji mkuu toka LAGOS hadi ABUJA.
Samahani hii picha ni mwaka Gan?hii ya zamani sana, yaani hata mafuta house ilikua bado haijakamilika, sasa kuna EXIM TOWER NA EXPRESS HOTEL bado haijakamilika pia kuna HOLIDAY INN, mbele ya mafuta kuna NMB house, ELITE TOWER ambayo itakamilika muda si mrefu pia,
angalia hilo eneo sasa hivi
View attachment 27402
Yaani lile ghorofa la katikati ya mji nasikia liliporomoka baada ya jamaa mmoja aliyekuwa na 'kikohozi' kubanja kwa nguvu alipokuwa akikatiza pale, na mliona vifusi vyake vilivyokuwa vimelundwa pale jangwani utafikiri ni machimbo ya mchanga. Sasa likija tetemeko kama Japan itabidi kupima upya viwanja maana patakuwa level!Yakitokea ya Japan patachimbika mjini (Mungu aepushie mbali).
Hiyo hatukatai baadhi ya sehemu ambayo yamefanyiwa usafi na wanaoishi sehemu hizo ni safi na ni aslimia 20 tu. Mwenzetu wewe unakataa kuwa jiji bado ni chafu sanaa kulinfanisha na heshima yake ?Ndio maana ikaanzishwa sheria kila jumamos kila mmoja asafise mazingira yanayomzunguka, kuweka jiji kua safi hata wewe linakuhusu na toka sheria hii inatekelezwa imesaidia kwa asilimia 60 jiji kua safi
majengo yote hayo yapo scattered sehemu mmoja, tuletee na za vingunguti, bugurini na mbagalaTHE CITY OF DAR ES SALAAM THROUGH PICTURES. DISCOVER DAR.
TPA TOWER, PSPF Twin Towers and MNF towers construction by skiligo, on Flickr
Dar es salaam Rapid Transit Bus along Kivukoni front by skiligo, on Flickr
DSC_5892 by skiligo, on Flickr
FROM RK TOWER by skiligo, on Flickr
From RK Towers rooftop by skiligo, on Flickr
From RK Towers rooftop by skiligo, on Flickr
The view from Mzizima towers by skiligo, on Flickr
The view from Mzizima towers by
skiligo, on Flickr
The skyline from Ocean Road by skiligo, on Flickr
The skyline from Ocean Road by skiligo, on Flickr
The Density. by skiligo, on Flickr
Bahati nzuri dar haiwezi kukumbwa na tetemeko la ardhi, sio potential site inayoweza kupigwa na earthquake.Yaani lile ghorofa la katikati ya mji nasikia liliporomoka baada ya jamaa mmoja aliyekuwa na 'kikohozi' kubanja kwa nguvu alipokuwa akikatiza pale, na mliona vifusi vyake vilivyokuwa vimelundwa pale jangwani utafikiri ni machimbo ya mchanga. Sasa likija tetemeko kama Japan itabidi kupima upya viwanja maana patakuwa level!
hebu yapime maneno yako vzrHiyo hatukatai baadhi ya sehemu ambayo yamefanyiwa usafi na wanaoishi sehemu hizo ni safi na ni aslimia 20 tu. Mwenzetu wewe unakataa kuwa jiji bado ni chafu sanaa kulinfanisha na heshima yake ?
Oysterbay hio...naona Kenyatta Drive,Toure Drive.....Mkuu hii ni Masaki? Mbona imepangika vizuri sana aisee? ama kweli ndo maana bongo kila mtu anamvizia mwenzake.![]()
The city view from rooftop Akira lounge by indaressalaam, on Flickr
Upcoming Kijitonyama District by indaressalaam, on Flickr
Upcoming Kijitonyama District by indaressalaam, on FlickrMsimbazi street safi hivyo?!!Msimbazi street View attachment 509461