Dar es Salaam City in Photos

Dar es Salaam City in Photos

Asante sana mkuu tena sana, jee vipi kuhusu Pembeni ya City mall kama unaenda Lumumba mkabala na mnazi 1 grounds
Pale sijui mkuu, nona wale Green waste Pro wameweka magari ya na vifaa vya kusafishia jiji.
 
Ndinda any thought kuhusu ule mega mradi wa NHC Kawe? Naona Kama umesimama vile. Any info......please share.
 
Pale sijui mkuu, nona wale Green waste Pro wameweka magari ya na vifaa vya kusafishia jiji.
Asante sana, je Kwa Mujibu wa Master plan ya jiji la Dar ni sehemu gani zapaswa kujengwa ghorofa ndefu?
 
Asante sana, je Kwa Mujibu wa Master plan ya jiji la Dar ni sehemu gani zapaswa kujengwa ghorofa ndefu?

Mkuu, bado sijainyaka vizuri Master plan au kama wanaifuata ipasavyo, Majengo mrefu Dar yanaibuka maeneo kibao, mfano PPF HQ kule karibu na Mawasiliano towers na Milenium towers, Halafu ukiangalia eneo la kutok hapo kuja morocco majengo mengi hayazidi floor 20 . ngaja nikaisake master pa kwanza.
 
This is amazing.........

30720858526_28d5331ca2_b.jpg
 
Back
Top Bottom