Dar es Salaam City in Photos

Dar es Salaam City in Photos

naombeni kuuliza, hapa picha mnapost vipi? mbona mi kila nikipost kanaonekana kadogo? msaada kwenye tuta jamani:help:

NDINDA...it has been long bro. Sasa naona umeshakuwa mtaalam wa kutuwekea mapicha mbali mbali.

In any case DAR has evolved. Mabasi ya mwendo kasi na sasa flyover za Tazara na Ubungo....hakika zitalibadilisha jiji. Kwa wenye akili sasa ni wakati muafaka wa kujitanua nje ya mji na kutafuta makazi..wakati bado viwanja vinanunulika. Maana kwa netowrk ya usafiri kila sehemu inafikika. Mfano kwa sasa mkazi wa Kimara anasafiri kwenda mjini more comfortably kuliko wa Mbezi Beach na kwingineko..kwa sababu ya mwendokasi.
 
Ni kweli aisee, Pia kigamboni panakuja vizuri sana. Pata kaeneo huko pia.

[CENTER
17883096_1499268623451486_5040628074475945984_n.jpg
[/CENTER​
 
Dar is changing. But mimi my plans I want to retire kijijini. Ingawa mjini niko kwenye mchakato wa kuweka base, by the time am 50....nataka Dar niwe nimeshamalizana napo. Niwe na solid residence kijijini. Mjini nitakuja kutembea na kuangalia miradi yangu once in a while. I can't stand this hussle at that age. We have had our fair share ya kuishi mjini. Tuwaachie vijana. I believe nikijipanga naweza kuishi vizuri hata kuliko mtu WA Masaki. It is all about planning.
 
Hapo ni Avic town, AMANI BEACH Kigamboni.
Hivi hii project wameweza kuuza hizo nyumba kweli? Nyumba kali sana na mazingira ni superb tatizo ni ukata wa enzi hizi za Uncle Magu!
 
Hivi hii project wameweza kuuza hizo nyumba kweli? Nyumba kali sana na mazingira ni superb tatizo ni ukata wa enzi hizi za Uncle Magu!

Mkuu watu watanunua tuu. Sema hata investors lazima wawe wanapima upepo hela za magumashi mara nyingi haziko sustainable.
 
beautiful pictures ahsanteni mno,ila kilio miundo mbinu ya kwenda pamoja na uzuri huu hakuna,ukitokea moto katikati ya jiji yatatokea kama yale ya mwanza,fire engines zitashindwa kufika eneo la tukio,maji yatawaishia na hakuna kwa kutap mingine,maana ilitakiwa hizi barabara zetu ziwe na chamber za maji ili fire engines zetu ziweze kunyonya maji kirahisi within eneo la tukio.
 
Dar inakua haraka. Nadhani serikali ikijipanga itatengeneza pesa kutokana na kodi ya majengo. Maendeleo kama haya hayakwepeki. Watu waeleweshwe kabisa maisha ya mjini yataendelea kuwa magumu tuu kukabilia na na changamoto za utoaji huduma kwenye mji mkubwa kama Dar. Usishangae mda mmchache ujao Tukaanza kulipishwa kodi kuingiza magari mjini. Hiyo ni tofauti na hela ya parking. Tujiandae kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom