Dar es Salaam City in Photos

Dar es Salaam City in Photos

KIDS LOVE THEIR BRIDGE
WanafunziwadarasalapilikatikashuileyamsingiMnaziMmojajijiniDaresSalaamwakiangaliamchorowadarajalaKigamboni-.jpg
 
<!-- google_ad_section_start(name=default) --> [h=2]Saturday, January 22, 2011[/h][h=3]TANZANIA UTAFUTAJI AU AJIRA HAKUNA KANUNI KILA MTU NA AJIRA YAKE[/h]

Mwanamke huyu sio mwizi nimfanya biashara ndogo ndogo maarufu kama machinga hapa akikabiliwa na mgambo wajiji la Dar



Kazi ni kazi hapa kija huyu akiwajibika kutembeza kofia biashara hii ndio inayo muingizia kipato
VITA DHIDI YA UMASIKINI !!
Mwanamke huyu sio mwizi nimfanya biashara ndogo ndogo maarufu kama machinga hapa akikabiliwa na mgambo wajiji la Dar


Vita dhidi ya umaskini polisi pia wakiwakamata wafanya biashara wenye mitaji midogo midogo maarufu kama machinga wauzanguo









Vita dhidi umasikini na wanawake tanzania
Mimi nilisoma kwa pesa alizo kua mama akipika na kuuza vitumbua wewe je??




Mama ntilie wakiandaa chakula
Hivi nivita dhidi ya umasikini tanzania






Mishikaki au maarufu kama nyama choma hii nayo nimoja ya ajira kwavijana wengi hasa mijini
Vitadhidi ya umasikini tanzania !!


mama ntilie akipika ugali wasembe ilikuwauzia chakula wateja wake mazingira ya kuandalia biashara hii sio mazuri kwajili ya maandaizi ya chakula lakini kama ilivyo ada ya tanzania kila mtu anajaribu kumpinga ADUI UMASIKINI vita hivi vimedumu sasa miaka mingi tanzania bila ya mafanikio ya kutosha kila kukicha heri ya jana!!




Safari ni safari wakaazi hawa wamkoani shinyanga vijijini wakisafiri baada ya kukosa usafiri wagari umasikini sinyanga bado nitatizo sugu pamoja na almasi kuchimbwa shinyanga Tanzania






watanzania hawa wakifanya kazi kwabidii ilikupiga vita ADUI UMASIKINI kazi ni kaz
 
<!-- google_ad_section_start(name=default) -->



hivi hapa ni DAR au haujaona kichwa cha habari? yale yale, kuna mtu alipost maporomoko ya zimbabwe hapa, why dont you use experience instead of emotions?
 
6537673759_843de01cbc_b.jpg


from jijiladar.blog

near regency hotel from jijiladar blog
DSC02361.jpg



from itsdar.net

DSC053502_Large.jpg


DSC053492_Large.jpg


DSC053322_Large.jpg



DAR
IMG_7771Dar_skyline.jpg


IMG_7772.jpg


Stone_Town_and_ICT_Training_Dar_029.jpg
 
Yafaa kujenga miji mipya nje ya jiji la Dar es Salaam kwa kuanzisha, new business centres. Maeneo ya Posta yaachwe kwa ajili ya ofisi za serikali. Kama yanaanzishwa maeneo mapya na huduma za kijamii zinafikishwa watu watasogea kufuata huduma za kijamii. Maeneo ya Tuangoma kumepimwa nafikiri tangu mwishoni mwa miaka ya 90, watu wamenunua viwanja, na wamejitahidi sana kujenga, lakini bado kasi ya watu kuhamia kule ni ndogo kwa kuwa huduma za kijamii kama vile umeme na maji havijasambazwa katika kiwango cha kuridhisha au hazijasambazwa kabisa.
 
Back
Top Bottom