Dar es Salaam City in Photos

Dar es Salaam City in Photos

tuhamie dom kabla tsunami haijatukuta!. miaka 50 imetosha kukaa dsm, tuhamie dom.
 
Jiji limekuwa sana hasa kwa population, population density, wasiokuwa na kazi wengi sana, madalali (wavivu) wanaotaka mambo ya haraharaka bila kusota. Mimi napendekeza badala ya kukazania tu Dar tuimarishe miji mingine pia tu plan barabara vizuri na miundombinu mingine. Tusije tukafanya makosa tuliyofanya Dar. Ukiangalia kwenye picha linavutia sana na jiji litakudanga kwa kuonekana bomba sana lakini ukishuka, shuruba zilizopo ambazo zinatokana na kutokuwa surveyed na watu kujenga kiholela utakimbia. Pia hatujakaa poa kabisa sababu percentage kubwa sana ya pato inatoka hapa Dar. Hiyo haijatulia kabisa cha msingi ni kusambaza huduma za msingi na kuweka miundo mbinu ya kutosha kwenye miji mingine mikubwa angalau kuwe na miji kama mi nne au mitano ya watu kukimbilia huko, sio Dar Dar Dar tu. Dar itabaki kubwa sababu ya bandari, na biashara lakini sio ndio iwe kila kitu kama tunavyodanganyika sasa hivi. Mfano mzuri ni wenzetu wa Kenya angalia Mombasa, Nairobi na miji mingine inavyokuja juu.
 
Ni kweli jiji linakuwa kwa kasi saana,lakini mkae mkijua mmetuonyesha sehemu za mijini tuu kulivyo kuzuri hasa tokea juu,hebu tutembezeni sehemu nyingine huku mkidisplay uozo wa mitaa then tujue jinsi gani ya kuchangia nini kifanyike.
 
sipendi kuilaumu serikali, lakini kuna wakati nalazimika kufanya hivyo. kuna hili suala la watu kujazana katikati ya jiji, mimi hata naogopa kwenda posta kwa kuhofia foleni ya magari. lakini jamani, kulikuwa na ulazima gani wa wizara zote kujengwa posta?
hivi mheshimiwa atakapo zuia magari kwakua anaenda kuswali, sisi wauza simu wa kariakoo tutawahi?
na hata sisi wananchi wenyewe wakati mwingine huwa tunapenda, eti kuna haja gani ya kwenda kununua nyanya kariakoo? wallah dar kero
 
BEAUTIFYING DAR ES SALAAM
Dar Mitaani … Siamini Macho Yangu « simbadeo2000
makunganya1.jpg


makunganya.jpg


makunganya2.jpg


makunganya3.jpg
 
Wadau Dar ni jiji lenye watu wengi kiasi kwamba kukosekana kwa mipango jiji ni uzembe mkubwa sana kwa serikali yetu na sasa hivi hakuna marekebisho yanayowezekana sijui waliopanga mwanzo waliwaza nini
 
Back
Top Bottom