Dar es salaam city is a trash when u compared to Windhoek city of Namibia

We jamaa nashuku uko juu ya miraa saa hii. Stimu za miraa ndio zinakudanganya eti uko windhoek
From mbeya city Tz na Namibia sio mbali kivile watz wengi tunakuka hapa kwa bas tu , pia kwa mtz ni visa free tu kufika na kuishi hapa , watz tu enjoy sana hapa Windhoek na Walvis bay ,broo
 
From mbeya city Tz na Namibia sio mbali kivile watz wengi tunakuka hapa kwa bas tu , pia kwa mtz ni visa free tu kufika na kuishi hapa , watz tu enjoy sana hapa Windhoek na Walvis bay ,broo
Lugha gani unatumia kuzungumza huko?
 
I dnt much kuhusu hili jiji but ukienda siku za jumamosi unaeza sema hamna watu, or ghost city.
 
Halafu misifa yote huwa unatajataja miji ya watu lakini hakuna hata siku moja ushaweka ushahidi WA picha kuonyesha kweli uko huko
Ushahidi wa nini bro kutoka mbeya Tz mbaka hapa unakuja kwa bus tu with visa free if you are Tanzanian come to enjoy this beautiful country toka huko shimo la tewa
 
Ushahidi wa nini bro kutoka mbeya Tz mbaka hapa unakuja kwa bus tu with visa free if you are Tanzanian come to enjoy this beautiful country toka huko shimo la tewa

Ndio zishakua zako, mara Brazil....ila hamna siku hata moja umeweka picha, ukishapiga cha Arusha hapo kwenye mabanda ya Tandale unaingia Jamii Forums na kuibukia Brazil.
 
Ndio zishakua zako, mara Brazil....ila hamna siku hata moja umeweka picha, ukishapiga cha Arusha hapo kwenye mabanda ya Tandale unaingia Jamii Forums na kuibukia Brazil.
Umewahi kutumia cha Arusha ?
 
Yaani mji wa watu laki tatu(300,000) ulinganishe na mji wa watu milioni sita(6,000,000).
Ukubwa wake sqr 5000km huku Dar sqr 1,500km

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…