Dar es Salaam here I come naomba mnipokee waugwana!

napenda lugha ya fasihi kama hii...lugha ilojificha ikihitaji muda na lindi la mawazo kufichua yaliyomo ndani ya maandishi ya mwandishi.....! japo walikufungia sasa DAR ES SALAAM umekuja kivingine ...na si kwa username ya dar es salaam tena bali kwa MOHAMED SOSHI
YOU ARE WELCOME BACK DAR ES SALAAM
 
Hahahahahahaaaa,sio yote kuna mingine lainiiiiiii,acha woga toa namba hiyo ukatolewe uchovu wa safari.

Basi hao hawatakuwa na tofauti na kima Mathayo wa barabara ya tisa Tanga lol
 
Baada ya hapo usisihau kupita kijijini kwetu
Karibu sana

Kwedikwazu? na bday girl leo lazima uwakewake ndani ya nguo nyeupe ila ule udongo wa pale mpaka ikifika jioni gauni litakuwa la cream lol
 
Ukifika majani mapana,kabla ya mizani,angalia kulia kuna nyumba yangu ndogo inajengwa,iangalie vizuri kisha ulete ripoti naona mafundi wananchanganya. Utaiöna inajengwa kwa tofali nyeusi,usisahau.

Japo hukuniambia mapema lakini kama ujuavyo mimi kabla ya mizani hakuna makazi ya watu kuna kiwanda cha maziwa Tanga fresh kisha kuna nyumba za wafanyakazi za ghorofa, Kuna kitengo cha mifugo maarufu kama ndorobo halafu mizani nadhani umechinjiwa baharini mkuu.
 
Sijaelewa hapo kwenye hizo bold una amanisha nini?
 
Kwedikwazu? na bday girl leo lazima uwakewake ndani ya nguo nyeupe ila ule udongo wa pale mpaka ikifika jioni gauni litakuwa la cream lol

hahahaha hivi hiyo ni picha yako kabisa ,maana mwenyewe umeweka pozi la upole kweli kweli kunani paleee Tanga
 
2 decades ago when VW changed tradition of making cars with enginens at the back were quoted saying "our engines are back in the front" ..........so Shossi welcome back to Dar karibu sana kaka,tupo ubungo tunakusubiri kwa hamu,kumbuka polepole ndo mwendo.........
 
hahahaha hivi hiyo ni picha yako kabisa ,maana mwenyewe umeweka pozi la upole kweli kweli kunani paleee Tanga

Ndio kabisa ni picha yangu halisi na jina ninalotumia ni langu halisi nitaweka nyingine kwenye albam uone..... Kunani paleee mbona kila kitu kimekufa?
 
Umesema kwa lugha ya kisanii kuwa "ni sawa na fauz na mathayo wa barabara ya 9" ukidundwa me simo

mjanja sana wewe kweli watokea Tanga,nilidhani ni wale waarabu feki wa Kondoa kwenye vijumba vya udongo mitaa ya ubembeni
 
Usijali shossi, there is always next time. Kama uliona kimya ujue wadau tulikuwa kwenye mishe zingine kibao. next time ukija tutakukaribisha kwa mbwembwe, usitusemee namna hiyo. Sie twapenda wageni ati.
 
Shukran sana mkuu...............................
 
Usijali shossi, there is always next time. Kama uliona kimya ujue wadau tulikuwa kwenye mishe zingine kibao. next time ukija tutakukaribisha kwa mbwembwe, usitusemee namna hiyo. Sie twapenda wageni ati.

Kweli wewe wa nyumbani si nimemwiambieni mje mnipokee mkanipotezea poa next time tena mje kunipokelea saruji..........
 
mjanja sana wewe kweli watokea Tanga,nilidhani ni wale waarabu feki wa Kondoa kwenye vijumba vya udongo mitaa ya ubembeni

Hahahaha umenichekesha sana mimi wa Tanga kwetu asili ni mnyanjani....
 
Ivi babilon bar pale korogwe bado ina operate nimemiss sana pale!
 
Ivi babilon bar pale korogwe bado ina operate nimemiss sana pale!

Pale miembeni karibu na transit? ipo inafanya kazi bado wajanja asubuhi wanapeleka pesa bank wajinga wanapeleka mikojo chooni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…