Dar es Salaam imeitika na Tanzania imesimama, Mageti yafunguliwe isije kuleta maafa mengine

afu mwarabu apone,wakati lupaso ishakuwa anfield mapema tu
 
Tunapenda misongamano ili ionekane vibe kumbe ni udwanzi tu
 
Yani kwa kweli amekosea sn, yy alitakiwa awasiliane na hao wanaohusika. Hlf pia hakutoa majibu mazur kbs kbs ni km alimdharau mtangazaji
 
𝙺𝚒𝚕𝚊 𝚕𝚊 𝚑𝚎𝚛𝚒 𝚈𝚊𝚗𝚐𝚊, 𝚝𝚞𝚗𝚊𝚘𝚖𝚋𝚎𝚊 𝚔𝚞𝚜𝚒𝚠𝚎 𝚗𝚊 𝚊𝚝𝚑𝚊𝚛𝚒 𝚣𝚊 𝚠𝚊𝚝𝚞 𝚔𝚞𝚞𝚖𝚒𝚊
 
Amesisitiza "nafasi ya urais iheshimiwe"Karia ni tatizo Moja kubwa sana basi tu amekuta nchi ya kunyenyekea anafanya atakavyo na kimsingi Leo anaomba usiku na mchana yanga apoteze
 
Umeandika hoja nzuri sana. Lakini maria siyo kiongozi wa mpira. Yule ni TISS aliyekuja kuwasambaratisha kina malinzi na wqmbura na wahuni wengine kama nyange kaburu na aveva
 
Vibanda umiza ndiyo vitatumika
ingependeza kama pale garden ya mnazi mmoja ingekuwa viewing park ,CoCo beach area, kigamboni karibu na Navy, Magufuli Bus Terminal ile underground area, vibanda umiza tunarudi kwenye old stone age
 
Amesisitiza "nafasi ya urais iheshimiwe"Karia ni tatizo Moja kubwa sana basi tu amekuta nchi ya kunyenyekea anafanya atakavyo na kimsingi Leo anaomba usiku na mchana yanga apoteze
Nimeshangaa mkuu wa Taasisi anasema hahusiki na mambo ambayo yapo kwenye Taasisi yake.Mawaziri Kila siku huwa wanatumbuliwa kwani makosa huwa wanakuwa wamefanya wao?
 
Nilichotegemea kimetokea mageti yamevunjwa na imekuwa la manyani mwenye nguvu na amepishwa, hili ni somo kubwa inatakiwa ujinga kama huu usirudiwe tena, tiketi mnaposema zimeisha inatakiwa mfungue mageti mapema watu waingie sio mambo ya kipuuzi kama aya watu wanawekwa mpaka saa 7 bila kufungua mageti, Sasa hasara hii nani anabeba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…