Isayalussy11
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 695
- 1,058
Tuko busy na mambo yetu, ni uboya kupoteza muda kumpa mtu ulaji, mwaka 2015 saa 12 niko kwenye foleni kumpa ulaji mbunge wangu, hajui na hatajua nilishinda juani kwa ajili yake,akawa anatupita barabarani hata salam hatoi, sitarudia tena kupoteza muda kufanywa ngazi ya mtu
[/Kwahiyo mkuu angekuwa anakusalimia tu kwako wewe ingetosha kurudia kumpigia tena kura........ kaaazi kwelikweli!
Usirudie tena kuandika hivyo.Ccm baba aoo
Mods wamelala fofofoooooowametuziba midomo tusi ongee sasa tutaongea kwenye 28/10/2020 lazima tuwapake Ky gel ya matako mbwa wale tutawakojolea ndani
Dar jiji la wajanja, miradi yote ya kimkakati imejengwa, mwezi huu wa kumi miradi miwili kati ya mingi inaanza kuzaa matunda, International Bus terminal na Ubungo flyover, sasa wana Dar WAHANGAIKE na ujinga ujinga kwa nini. Dar ni time taker wanajitambuaKama mji mkuu Tanzania kwa hadhi na historia, jiji la Dar ndio lango la mambo yote, yawe mazuri au mabaya.
Ni kweli Dar ni bandari salama ila sio kwa kupoa huku kwenye vuguvugu hili la mabadiliko.
Sijaona zile vibe za 2010 kipindi cha Dr. Slaa Vs Kikwete. Sijaona vibe za 2015 kipindi cha Mh Edward Lowasa Vs Dr. JPM
Jiji na viunga vyake vyote ilikua mshikemshike nguo kukauka nikuvae, ila this time, watu wako busy na issue zao tu.
Sijui ni hasira zimewajaa mzee wa kaya alivyoziba mirija kwa miaka 5?
Please, tunapoelekea week 4 za mwisho, tunataka kuona mchango wa jiji kubwa katika harakati za kuwa na taifa lenye muelekeo wa kisera na kimifumo ya taasisi za kiutawala, na maendeleo.
Kwa maoni yangu naona dar imepigwa sana makombora yale ya kuunga juhudi, takribani majimbo matatu kati ya sita yalidhurumiwa sauti ya wananchi. Hali hiyo imeleta ganzi kwa wananchi wasijue cha kufanya. Waliowengi wanahitaji mabadiliko lakini wanaoaminiwa wanasaliti wananchi. La pili suala la kuwaacha machinga na lenyewe limechangia jiji kutokuwa na vuguvugu. Yani ile mtu akikumbuka adha ya kukimbizana na mgambo anaona serekali hii ni bonge la bahati. Pia kuana suala la usalama, dar kwa sasa maji na bidhaa zote tunazouza barabarani, zinalala palepale na hakuna udokozi kama zamani. Hata issue za kukabana kabana imepungua sana.Kama mji mkuu Tanzania kwa hadhi na historia, jiji la Dar ndio lango la mambo yote, yawe mazuri au mabaya.
Ni kweli Dar ni bandari salama ila sio kwa kupoa huku kwenye vuguvugu hili la mabadiliko.
Sijaona zile vibe za 2010 kipindi cha Dr. Slaa Vs Kikwete. Sijaona vibe za 2015 kipindi cha Mh Edward Lowasa Vs Dr. JPM
Jiji na viunga vyake vyote ilikua mshikemshike nguo kukauka nikuvae, ila this time, watu wako busy na issue zao tu.
Sijui ni hasira zimewajaa mzee wa kaya alivyoziba mirija kwa miaka 5?
Please, tunapoelekea week 4 za mwisho, tunataka kuona mchango wa jiji kubwa katika harakati za kuwa na taifa lenye muelekeo wa kisera na kimifumo ya taasisi za kiutawala, na maendeleo.
CCM baba laoo
Wewe kaa ndani upake poda na dada zako, tuache wanaume tufanye yetu tarehw 28.Mbunge wa Ubungo sayeed kubenea
Kinondoni mauridi mtulia
Kawe Halima Mdee
Temeke Abdallah mtolea
Ukonga waitala
Kibamba Mnyika
Baada ya Dar kuwa na wabunge wa upinzani takriban 6
Mm kama mpiga kura wa ukawa pamoja na familia yangu kwa ujumla
Najiuliza nimepata faida gani?
Kifupi kupiga kura Africa ni kupoteza muda wako tu,,,
Dar es salaam ni mkoa ambao hauwezi kuwa msaada kwa mabadiliko ya kidemokrasia nchini.Kama mji mkuu Tanzania kwa hadhi na historia, jiji la Dar ndio lango la mambo yote, yawe mazuri au mabaya.
Ni kweli Dar ni bandari salama ila sio kwa kupoa huku kwenye vuguvugu hili la mabadiliko.
Sijaona zile vibe za 2010 kipindi cha Dr. Slaa Vs Kikwete. Sijaona vibe za 2015 kipindi cha Mh Edward Lowasa Vs Dr. JPM
Jiji na viunga vyake vyote ilikua mshikemshike nguo kukauka nikuvae, ila this time, watu wako busy na issue zao tu.
Sijui ni hasira zimewajaa mzee wa kaya alivyoziba mirija kwa miaka 5?
Please, tunapoelekea week 4 za mwisho, tunataka kuona mchango wa jiji kubwa katika harakati za kuwa na taifa lenye muelekeo wa kisera na kimifumo ya taasisi za kiutawala, na maendeleo.
Kupigia kura Lissu ni kupoteza. Kwanini upoteze kura yako kwa mtu ambaye hawezi kushinda?. Chagua JPM, chagua maendeleo.Mimi siwezi kufanywa fala na CCM.nimechoka Kura yangu ni Tundu Lissu mtake msitake nimemaliza
Kumbe wewe fala umejitukana tayariMimi siwezi kufanywa fala na CCM.nimechoka Kura yangu ni Tundu Lissu mtake msitake nimemaliza
Subiri kidogo sheikh.Kama mji mkuu Tanzania kwa hadhi na historia, jiji la Dar ndio lango la mambo yote, yawe mazuri au mabaya.
Ni kweli Dar ni bandari salama ila sio kwa kupoa huku kwenye vuguvugu hili la mabadiliko.
Sijaona zile vibe za 2010 kipindi cha Dr. Slaa Vs Kikwete. Sijaona vibe za 2015 kipindi cha Mh Edward Lowasa Vs Dr. JPM
Jiji na viunga vyake vyote ilikua mshikemshike nguo kukauka nikuvae, ila this time, watu wako busy na issue zao tu.
Sijui ni hasira zimewajaa mzee wa kaya alivyoziba mirija kwa miaka 5?
Please, tunapoelekea week 4 za mwisho, tunataka kuona mchango wa jiji kubwa katika harakati za kuwa na taifa lenye muelekeo wa kisera na kimifumo ya taasisi za kiutawala, na maendeleo.
Hiyo ndiyo kazi huyo Diwani ametumwa kufanya.😛😛 Huyu Diwani anafikiri ccm inaweza ikamfanya aishi milele katika dunia hii??
nadhani awamu hii haina haja ya kufuatilia au kusikiliza ssera kwa sababu mambo yote yanajulikana kilicho baki ni siku ya kupiga kura, kupiga na kuchpa kwendo hakuna braa braa. WANA DAR ES SALAM WANA JAMBO LAOKama mji mkuu Tanzania kwa hadhi na historia, jiji la Dar ndio lango la mambo yote, yawe mazuri au mabaya.