Ya dar sio ya kawaidaKwani hayo ya Dar sio ya Kawaida???
Ooh. Nimekuelewa, una maana ya Urefu. Lakini ujue East Africa Nairobi KICC na Times Tower ndio zilikuwa ndefu hadi mlipo jenga hizi. Lakini ujue kwamba Kenya nayo haikulala wala hiwezi lala, Britam tower ambayo sahi inaishaisha inaurefu wa 200m, PSpf yenu ni 160m. Maanake ni kwamba sahi Ishachukua nambari ya 3 Africa nzima. Kisha Hass Towers ambayo ni ghorofa 60 (300m) na 40 Mita 220 inajengwa. Montave ghorofa 45 na Avic center ambayo inamagorofa zaidi ya sita pia yanajengwa. Maanake, mwaka ujao numba moja hadi tano majumba marefu Africa yatakuwa Kenya.Chungulia hapa
Top 10 Tallest Buildings in Africa 2016
Depay nadhani hapo amejionea mwenyewe!!! Na bado, wacha haya niliyo mtajia pale yakamilike!!! Hata nasikia Hazina towers pia huenda ikakamilika mwaka ujaoTIHAHAHAHAHA!!!!IFYOU HAVE TIME LOOK AT THIS AND SHUT UP
Top 5: Tallest buildings in Africa
Wewe unaongelea project ambazo hazijakamilika sio?Ooh. Nimekuelewa, una maana ya Urefu. Lakini ujue East Africa Nairobi KICC na Times Tower ndio zilikuwa ndefu hadi mlipo jenga hizi. Lakini ujue kwamba Kenya nayo haikulala wala hiwezi lala, Britam tower ambayo sahi inaishaisha inaurefu wa 200m, PSpf yenu ni 160m. Maanake ni kwamba sahi Ishachukua nambari ya 3 Africa nzima. Kisha Hass Towers ambayo ni ghorofa 60 (300m) na 40 Mita 220 inajengwa. Montave ghorofa 45 na Avic center ambayo inamagorofa zaidi ya sita pia yanajengwa. Maanake, mwaka ujao numba moja hadi tano majumba marefu Africa yatakuwa Kenya.
200m
176m
300m and 220m
200m
Haya yote sio propasal yameanza kujengwa. UAP Prism na Britam yanakamilishwa. Next year back to where you belong
Lakini ni ukweli kwamba mwaka ujao Nairobi itaongoza. Sahi tunavojadili hivi, Tayari UAP ishachukua numba 5 Africa 163M, Britam namba 3 na 200m. Sasa nikikwambia kwamba sio proposal ujue mambo yanaundwa!Wewe unaongelea project ambazo hazijakamilika sio?
You're talking about future sio? Kwanini usikubali tumewapiga bao?Lakini ni ukweli kwamba mwaka ujao Nairobi itaongoza. Sahi tunavojadili hivi, Tayari UAP ishachukua numba 5 Africa 163M, Britam namba 3 na 200m. Sasa nikikwambia kwamba sio proposal ujue mambo yanaundwa!
[emoji28][emoji28][emoji28] hawataki ya sasa wanazungumzia ya mwakani....You're talking about future sio? Kwanini usikubali tumewapiga bao?
pitia upuuzi wako ulioandika kwnza kisha utajua what i'm talking about......ππππwewe kweli kiazi, wapi nimeandika watu wanajenga kwenye viwanja vya watu?! punguza kukurupuka bwamdogo, kama ulikuwa na hamu ya kupost magorofa ungepost tu bila kuniquote kijinga hivi
pitia upuuzi wako ulioandika kwnza kisha utajua what i'm talking about......ππππ
Ya sasa tayari UAP na Britam zi shawaweka nje. Huelewei bana?[emoji28][emoji28][emoji28] hawataki ya sasa wanazungumzia ya mwakani....
huu ni uduanz
[emoji28][emoji28][emoji28] hawataki ya sasa wanazungumzia ya mwakani....
huu ni uduanz
Mombasa pia itakuwa inawatoa jasho the next 5 yrsAfter 5 years, TZ nzima tutawaachia Mombasa washindane nayo. Maanake sasa Nairobi iko ligi tofauti.
Mombasa yenyewe inawaacha.Mombasa pia itakuwa inawatoa jasho the next 5 yrs