Dar es Salaam ina eneo kubwa zaidi ya Nairobi

Ooh. Nimekuelewa, una maana ya Urefu. Lakini ujue East Africa Nairobi KICC na Times Tower ndio zilikuwa ndefu hadi mlipo jenga hizi. Lakini ujue kwamba Kenya nayo haikulala wala hiwezi lala, Britam tower ambayo sahi inaishaisha inaurefu wa 200m, PSpf yenu ni 160m. Maanake ni kwamba sahi Ishachukua nambari ya 3 Africa nzima. Kisha Hass Towers ambayo ni ghorofa 60 (300m) na 40 Mita 220 inajengwa. Montave ghorofa 45 na Avic center ambayo inamagorofa zaidi ya sita pia yanajengwa. Maanake, mwaka ujao numba moja hadi tano majumba marefu Africa yatakuwa Kenya.
27076864452_0967929606_b.jpg
200m
CZ4PyvzWAAEiV0Z.jpg
176m
31_07_mid_aerialview_w.jpg
300m and 220m
Upperhill%20(8b)-2.jpg
200m
tower.jpg

Haya yote sio propasal yameanza kujengwa. UAP Prism na Britam yanakamilishwa. Next year back to where you belong
 
Wewe unaongelea project ambazo hazijakamilika sio?
 
Lakini ni ukweli kwamba mwaka ujao Nairobi itaongoza. Sahi tunavojadili hivi, Tayari UAP ishachukua numba 5 Africa 163M, Britam namba 3 na 200m. Sasa nikikwambia kwamba sio proposal ujue mambo yanaundwa!
 
Naonaga kichefuchefu kuongea na wakenya nyie wenzangu mna moyo sana kuongea na hizo pumpkins wana wivu na roho mbaya sana na dharau.

Aaaaahshhhhh arrogance unadhani wote ni wanawake.
 
Lakini ni ukweli kwamba mwaka ujao Nairobi itaongoza. Sahi tunavojadili hivi, Tayari UAP ishachukua numba 5 Africa 163M, Britam namba 3 na 200m. Sasa nikikwambia kwamba sio proposal ujue mambo yanaundwa!
You're talking about future sio? Kwanini usikubali tumewapiga bao?
 
Hahahaa....Teren! Teren!....My laand is Kenyaaa!!
 
wewe kweli kiazi, wapi nimeandika watu wanajenga kwenye viwanja vya watu?! punguza kukurupuka bwamdogo, kama ulikuwa na hamu ya kupost magorofa ungepost tu bila kuniquote kijinga hivi
pitia upuuzi wako ulioandika kwnza kisha utajua what i'm talking about......🙁🙁🙁🙁
 
Back
Top Bottom