Dar es Salaam ina eneo kubwa zaidi ya Nairobi

Hii ni account nyingine ya sammuel999. I bet
Nope am not that petty like you people to keep opening accounts

I go by the same Samm999 or Sam999 or samuel999 hapa na Nairaland na Skyscraper na Kenyatopix i know ur that petty game over
 
After 5 years, TZ nzima tutawaachia Mombasa washindane nayo. Maanake sasa Nairobi iko ligi tofauti.
WakujiteKENYA bana. Nyie endeleeni tu kijisifu na kufurahisha nafsi zenu.
 
Mombasa kamwe haiwez compete na Dar. ...
Uyo nyau anaesema after years nai itakua mbali sijui kama anaijua mipango ya Dar. ...kuna mchikichini project iyo zitadondoshwa midude floor 50...pale Sam nujoma road ppf wanadondosha floor 35 sahiv liko u/c , tukienda kwenye satelite city CBD mpya kawe ambayo imeshaanza....kuna Victoria kuna kigamboni ***** nai mtatuzidi mbuga tu
 
Believe it or Not....Take it or leave it...Dar is just a stone throw away for Mombasa.Remember this is only our second largest city......I don't want you to have scary nightmares tonight.Relax ,watch the space and sleep well
 
Go take your amitriptyline pills ,your suffering of depression
 
Pewa tusker baridi. Sit back and relax and watch the pace, because the guy infront of you will always be a Kenyan.
Kwikwikwi. Mimi napata Kilimanjaro au Safari sinywi pombe za kutoa harufu mbaya.

Zamani kweli mlikuwa mnatuacha kwa mbali lakini kadri ya siku zikisonga mbele gap linazidi kuwa dogo.

Wewe endelea tu kujisifu. Ghafla utatuona tupo mbele kama tai.
 
Disgusting..
Huyu ametoka wapi tena?
Unakasirika kwa ukweli,
Majumba kama haya ndiyo sahi yashamiri Mombasa, Tudor, Nyali, Vipingo, Kizingo!!! Jaribu ufanye googling utayaona. Ni mengi sana.

Mombasa miaka tano itajumuisha Tanzania nzima
 
Go take your amitriptyline pills ,your suffering of depression

Tihahahaaa...see you need some space in stand up comedy....Don't worry yourself sick man.You've a looong way to go...
 
Believe it or Not....Take it or leave it...Dar is just a stone throw away for Mombasa.Remember this is only our second largest city......I don't want you to have scary nightmares tonight.Relax ,watch the space and sleep well
Mombasa ni ya kushindana na pemba. Sahau kuhusu Unguja.
 
Kwikwikwi. Mimi napata Kilimanjaro au Safari sinywi pombe za kutoa harufu mbaya.

Zamani kweli mlikuwa mnatuacha kwa mbali lakini kadri ya siku zikisonga mbele gap linazidi kuwa dogo.

Wewe endelea tu kujisifu. Ghafla utatuona tupo mbele kama tai.

As if Kilimanjaro hainuiki vibaya......Bado mko mbali sana...Mmepata ghorofa mbili tatu mkadhani mmefika...Bado.Jaribu Maputo pale south kwanza.That's your class.
 
Mombasa ni ya kushindana na pemba. Sahau kuhusu Unguja.
Hahahaha...Chunga utapata heart attack bure.You never get mad in jf.Everything is for fun...Sasa ukitoa povu na muhimbili ndo hiyo haina daktariii???
 
Tihahahaaa...see you need some space in stand up comedy....Don't worry yourself sick man.You've a looong way to go...
Poor insight. ..
Flighting of ideas
bizzare behaviour
dar sio mombasa wewe kama bado unabisha endelea....
 
Kwikwikwi. Mimi napata Kilimanjaro au Safari sinywi pombe za kutoa harufu mbaya.

Zamani kweli mlikuwa mnatuacha kwa mbali lakini kadri ya siku zikisonga mbele gap linazidi kuwa dogo.

Wewe endelea tu kujisifu. Ghafla utatuona tupo mbele kama tai.
Pewa mthokoi special take away basi.
 
Umesahau moja nalo muhimu pia, 'Dar haina ujambazi wa kutisha kama Nairobi' kumbuka wale mabohora waliokuja kufanya sherehe yao hapa Dar, walichagua Dar dhidi ya Nairobi kikubwa kikiwa ni hali ya usalama. Wahindi wa watu wangeporwa mchana kweupe kama ingekua Nairobi. Pia vurugu za politics kenya kwa sasa ni order of the day
 
Poor insight. ..
Flighting of ideas
bizzare behaviour
dar sio mombasa wewe kama bado unabisha endelea....
Hahahaha....Hakuna tofauti...Acha kukaa kichaa hapa...Nenda kalale sasa..Utaumwa na kichwa buree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…