Sasa hayo sisi si tunayapeleka tu kuyalinganisha na University of Dodoma biashara ya mombasa nzima inakua imeisha aise
Hahaaa..Dodoma...That forlorn dusty town of a few mabati houses in the name of a capital city.Acha kujiabisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hayo sisi si tunayapeleka tu kuyalinganisha na University of Dodoma biashara ya mombasa nzima inakua imeisha aise
Mbona unahamisha mada tu kila wakati?Pretenders...Umasikini wa kutupwa na unatokwa na povu hapa.Get a life.Admit that things are really aweful in your country....and find solutions.Acha kurusha tako juu na chini hapa.Fold the sleeves of your shirt/blouse,get out of that damn keyboard and work to salvage your countrymen out of this God forbid poverty.
Mbona unahamisha mada tu kila wakati?
Hii issue ya umaskini tulishaijadili mda sana.
Unaelewa maana ya most?Hujawahi kujiuliza kwanini mahakama ya kimataifa ipo Arusha?
Unaelewa maana ya most?
Umeishiwa pointi kojoa ulale ili ukue.
International organizations zipi zipo kenya?
Huna uwezo wa ku argue na mimi. Uwezo wako ni mdooooogo mno.Hamna kipya kutoka kwako......You are just one hateful,bitter and awfully envious Danganyikan.And as I said you are really a bad example of what I imagined a Danganyikan would be.
Hahaaa...Spiteful as always...When you have no issues to say apart from kibera you begin on yapping left right and centre as if you a kin to a baboon.Huna uwezo wa ku argue na mimi. Uwezo wako ni mdooooogo mno.
Maana unaruka ruka na kurukia vitu bila hata mpangilio.
Umeleta issue kuhusu slums tumekuonesha kwamba Kenya zipo kibao.
Mara ukakurupuka sijui moshi mara oh!! Mara abc.
Nikakuuliza hiyo issue ya 2007 inahusikaje na issue ya slums za kenya 2016.
Isitoshe hiyo habari umeitoa kwenye mitandao ya kenya.
Wewe uwezo wako bado ni mdogo sana. Jisomee kwanza labda utanikaribia.
Kha!!! Hizo sasa ni UN organizationsList of companies and organizations based in Nairobi - Wikipedia
Naona umelia saaana
Kha!!! Hizo sasa ni UN organizations
Hebu acha kujichetua bana.
Nimetoa na mfano UN organizations UN-HABITAT, ILO, FAO, ICAO, just to mention a few! Iam a Tanganyikan anyway.Hahaaa....Wah!!!Nenda shuleni tafafhali...Some things are so basic.
Wewe ni mbumbumbu. Nakusaidia tu.Kojoe kalale....You are just a spent cartridge my friend.
Mkuu. Usihangaike kufananisha UDOM na vitu vya kijinga kisa unajaribu kielimisha likikuyu.Sasa hayo sisi si tunayapeleka tu kuyalinganisha na University of Dodoma biashara ya mombasa nzima inakua imeisha aise
Preach!Hamna kipya kutoka kwako......You are just one hateful,bitter and awfully envious Danganyikan.And as I said you are really a bad example of what I imagined a Danganyikan would be.
Wewe ni mbumbumbu. Nakusaidia tu.
Soma hapa:
List of United Nations organizations by location - Wikipedia
Siku nyingine niite kaka sawa?