Dar es Salaam ina eneo kubwa zaidi ya Nairobi

Sasa hayo sisi si tunayapeleka tu kuyalinganisha na University of Dodoma biashara ya mombasa nzima inakua imeisha aise

Hahaaa..Dodoma...That forlorn dusty town of a few mabati houses in the name of a capital city.Acha kujiabisha
 
Mbona unahamisha mada tu kila wakati?
Hii issue ya umaskini tulishaijadili mda sana.
 
Najiuliza tu. Despite the facts given why most international organizations including UN have their East Africa headquarters in Nairobi?
Hujawahi kujiuliza kwanini mahakama ya kimataifa ipo Arusha?
 
Hamna kipya kutoka kwako......You are just one hateful,bitter and awfully envious Danganyikan.And as I said you are really a bad example of what I imagined a Danganyikan would be.
Huna uwezo wa ku argue na mimi. Uwezo wako ni mdooooogo mno.
Maana unaruka ruka na kurukia vitu bila hata mpangilio.

Umeleta issue kuhusu slums tumekuonesha kwamba Kenya zipo kibao.
Mara ukakurupuka sijui moshi mara oh!! Mara abc.
Nikakuuliza hiyo issue ya 2007 inahusikaje na issue ya slums za kenya 2016.
Isitoshe hiyo habari umeitoa kwenye mitandao ya kenya.

Wewe uwezo wako bado ni mdogo sana. Jisomee kwanza labda utanikaribia.
 
Hahaaa....Wah!!!Nenda shuleni tafafhali...Some things are so basic.
Sasa wewe weka hapa hizo international organizations kwani shida ipo wapi?
Leta hizo za UN yaani UN organizations.
Zaidi sana utaleta office za mabalozi.
 
Hahaaa...Spiteful as always...When you have no issues to say apart from kibera you begin on yapping left right and centre as if you a kin to a baboon.
 
Hahaaa....Wah!!!Nenda shuleni tafafhali...Some things are so basic.
Nimetoa na mfano UN organizations UN-HABITAT, ILO, FAO, ICAO, just to mention a few! Iam a Tanganyikan anyway.
 
Sasa hayo sisi si tunayapeleka tu kuyalinganisha na University of Dodoma biashara ya mombasa nzima inakua imeisha aise
Mkuu. Usihangaike kufananisha UDOM na vitu vya kijinga kisa unajaribu kielimisha likikuyu.
Ona hii University of Dodoma.

Hamna kipya kutoka kwako......You are just one hateful,bitter and awfully envious Danganyikan.And as I said you are really a bad example of what I imagined a Danganyikan would be.
Preach!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…