Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,784
Ukichefukwa tapika...London - Wikipedia
London
Greater London encompasses a total area of 1,583 square kilometres (611 sq mi )
Kwa analysis yako hio dar ni kubwa kuliko london, mnachefua etii!!
Ukitoa nai varsity the rest hakuna itakayokuja igusa udom kwa ukubwa....issue za academic tuziache maana udom ndio kwanza imeshafanya graduation 7 tu mpaka sasa!! Ni chuo kikubwa mpaka sahv kuna hostel hazina wanafunzi zipo tu....hakuna student anakaa mtaani kwa kukosa room campus!! Kutoka college moja kwenda ingne unachukua usafiri. ....
Poa Kakangu mambo vipi??Habari yako bwana wanjala[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Umetokea wapi tena[emoji53],ina acre ngapi hyo eldoret just mention.......kuhusu no of student hiyo ipo wazi..........nazungumzia ukubwa a dude. ..anyway time will tellWell Moi University Eldoret currently has a student population of 56K students.The acreage is as big as Udom.So I don't understand where the debate is even coming from????....Udom itself I a baby in Tanzania....
Umetokea wapi tena[emoji53],ina acre ngapi hyo eldoret just mention.......kuhusu no of student hiyo ipo wazi..........nazungumzia ukubwa a dude. ..anyway time will tell
Nitembelee wapi na nione nn....specifyTembea nikuonyeshe kakangu.I live just by the University..Hii sii kiini macho sasa....
Tembea Kenya-Eldoret-Kesses....Where Moi University is situated.Uone th University and the acreage.....Mimi mambo ya google ni kiini macho.Nitembelee wapi na nione nn....specify
Will arrange ,nikija kwenu uko ntapitia sehemu muhimu japo sio interest ujue kutembelea vyuoni sijui hua naonaje...yan mf uje dar afu ukazurure udsm kule sijui inakuajeTembea Kenya-Eldoret-Kesses....Where Moi University is situated.Uone th University and the acreage.....Mimi mambo ya google ni kiini macho.
Will arrange ,nikija kwenu uko ntapitia sehemu muhimu japo sio interest ujue kutembelea vyuoni sijui hua naonaje...yan mf uje dar afu ukazurure udsm kule sijui inakuaje
Kiazi ww!! Na mm nikakuulza "Kwni Bongo wtu wmejenga kwnye viwanja vya wenzano [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]haya we pimbi angalia nilichoandika hapo afu ujione upimbi wako
Hyo ya Mchikichini Ipoje mkuu, hebu nipe fact hpa [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mombasa kamwe haiwez compete na Dar. ...
Uyo nyau anaesema after years nai itakua mbali sijui kama anaijua mipango ya Dar. ...kuna mchikichini project iyo zitadondoshwa midude floor 50...pale Sam nujoma road ppf wanadondosha floor 35 sahiv liko u/c , tukienda kwenye satelite city CBD mpya kawe ambayo imeshaanza....kuna Victoria kuna kigamboni ***** nai mtatuzidi mbuga tu
Kiazi ww!! Na mm nikakuulza "Kwni Bongo wtu wmejenga kwnye viwanja vya wenzano [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Tafuta Uzi wa mchikichini heights utauona huo mprojects!! Nadhani huo uzi utakua kwenye general forum kama sikoseiHyo ya Mchikichini Ipoje mkuu, hebu nipe fact hpa [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hiyo Mlima kenya ni biggest University in eastern and central Africa au unaongea tu kimihemko sababu me naongelea fact sio ushabiki wa kitoto.Hiyo hata hatulinganishi na Mount Kenya University ambayo ni Private
Huwezi kulinganisha udom na hizo kindergarten classesEeeh Mkuu hii bado mna miaka, Hata Zetech pekee bado haijafikia duuh
Wala Catholic University
Usipate shida kubishana na MACHIZIHuwezi kulinganisha udom na hizo kindergarten classes
The University of Dodoma (UDOM) is apublic university in central Tanzanialocated in Dodoma, the country's capital.[1] Building is taking place on a 6,000-hectare site in the Chimwaga area about 8 kilometres (5.0 mi) east of downtown Dodoma.[2]
The University of Dodoma was formally established in March 2007 following the signing of the Charter by the President of the United Republic of Tanzania. The first academic programmes commenced in September 2007.[3]
In line with Tanzania’s Development Vision 2025,[4] the University of Dodoma, when fully operational, will be able to enroll 50,000 students.[2] This is more than triple the size of theUniversity of Dar es Salaam when UDOM opened.[3]
The university of Dodoma currently has ten colleges: College of Earth Sciences,College of Natural and Mathematical Sciences, College of Informatics and Virtue Education, College of Education, College of Humanities and Social Sciences, College of Health and Applied Sciences
Kubali tu ukweli, Udom is the Largest academic institution in the region.Well Moi University Eldoret currently has a student population of 56K students.The acreage is as big as Udom.So I don't understand where the debate is even coming from????....Udom itself I a baby in Tanzania....
Kubali tu ukweli, Udom is the Largest academic institution in the region.
Foam!!! KwikwikwiI think you are either a mad man or you imitate a mad man for fun.When a foolish person keeps quiet he is deemed to be intelligent.Stop this madness of jumping up and down for no real reason and reason just a little just like a chicken sort of.Otherwise the direction you are taking,Only God knows.........