Unacho shangaa nn kama ni ukubwa wa eneo kawaida tu mbona serengeti Park imeizidi ukubwa nchi ya Netherlands yani imagine Tz tuna mbuga kubwa kama nchi ila yenyewe imejaa wanyama pori so why don't you start wondering from here and see how special we are na nikisema nasema inaingia maradufu.