Dar es Salaam ina eneo kubwa zaidi ya Nairobi

Dar es Salaam ina eneo kubwa zaidi ya Nairobi

Stop looking at one side of the coin and start making conclusions. Hukuona mwenzako alivyokuwa mwepesi Kutaja slums za Nairobi? Hiyo ilikuwa kwenye mada?
Una respond after how many years? Nov 12, 2016![emoji23][emoji23]
 
Unacho shangaa nn kama ni ukubwa wa eneo kawaida tu mbona serengeti Park imeizidi ukubwa nchi ya Netherlands yani imagine Tz tuna mbuga kubwa kama nchi ila yenyewe imejaa wanyama pori so why don't you start wondering from here and see how special we are na nikisema nasema inaingia maradufu.
 
Back
Top Bottom