chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Leo ni siku ya wanawake duniani, chadema wamefanyia katika ukumbi uliojaa fahari kuu na anasa-Mlimani City.
Kuna Msimbazi Centre ya mwanachadema Padri Kitima na nyingine nyingi, kwa nini chama changu kikodi ukumbi kwa zaidi ya milioni mia moja (100, 000,000/) wakati juzi tu wamelia hawana hela, wakachangiwa milioni mia moja na kidogo?
Kwa nini wanapenda ufahari wa mfalme suleiman wakati bado wanajitafuta? Upande wa pili wamefanyia kwenye Uwanja wa wazi, kila mtu anaingia, kwa nini wao wawe closed door? Hawakuiona Mwembeyanga? Jangwani? T. P sinza?