Tokea lini?!kwa nini chama changu
Swali la msingi sana ila umeliuliza kinafki.Kwa nini wanapenda ufahari wa mfalme suleiman wakati bado wanajitafuta?
Porojo hizo.Tangu kinaanzishwa
Ogopa sana vitu vya bei rahisi🤦🏾♂️ siku ya mkutano unaambiwa kuna maagizo ..Leo ni siku ya wanawake duniani, chadema wamefanyia katika ukumbi uliojaa fahari kuu na anasa-Mlimani City.
Kuna Msimbazi Centre ya mwanachadema Padri Kitima na nyingine nyingi, kwa nini chama changu kikodi ukumbi kwa zaidi ya milioni mia moja (100, 000,000/) wakati juzi tu wamelia hawana hela, wakachangiwa milioni mia moja na kidogo?
Kwa nini wanapenda ufahari wa mfalme suleiman wakati bado wanajitafuta?
Huenda wanapewa bure/kwa discount kama sehemu ya promo ya ukumbi.Leo ni siku ya wanawake duniani, chadema wamefanyia katika ukumbi uliojaa fahari kuu na anasa-Mlimani City.
Kuna Msimbazi Centre ya mwanachadema Padri Kitima na nyingine nyingi, kwa nini chama changu kikodi ukumbi kwa zaidi ya milioni mia moja (100, 000,000/) wakati juzi tu wamelia hawana hela, wakachangiwa milioni mia moja na kidogo?
Kwa nini wanapenda ufahari wa mfalme suleiman wakati bado wanajitafuta? Upande wa pili wamefanyia kwenye Uwanja wa wazi, kila mtu anaingia, kwa nini wao wawe closed door? Hawakuiona Mwembeyanga? Jangwani? T. P sinza?
Upo sahihi sasa kwa namna hii naamini hii nchi haina upinzani wa kweli ndo tatizo watu kama hawa ukiwapa nchi yatakua yaleyale ya ccm kununua v 8 za gharama kuliko bajet wizar ya afya