Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

CTO ulivyo zitaja izo sehemu umenifurahisha sana, kijiwe changu cha kusomea ilikua ni C.B.E na I.F.M ah ah ah! Ukinikosa huko nipo room block v wapi mzee Liondo na Mkilamwene na Dr. Saa nane walikua wanafanya wanafunzi hatulali
Ha ha aaa liwondo mikwara Mingi balaa... Ila mkiramwen complicator ha ha aa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi bado wanna ile Tabia YA kuchelewesha vyeti? Yaan mtu unasubiria mwaka mzima. Binafsi walinifanya NikAkosa kazi mwaka JUZI kwa kuchelewesha vyeti. Ila Mwaka JANA nikapata . DIT ni chuo kizur ila saiv wameanza usanii mwingi sana... Practical PIA zimepungua. Saiv story nyingi sanaaa... Nani Yale mabafu YA block3 cjui km Wamerekebisha ha ha aa.. Block 5 ndo kabisaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je Kama ana C ya esabu na D ya phy, chem, bio, geog, eng, kisw na F ya civ na hist apo inakuaje
 
That's gud...hongeren sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwenye softwares ya solidworks tafadhali?

Haya maisha bhana... kila mtu huwa yanamgonga kwa style yake.
 
Wakuu nataka kuja kusoma ufundi simu hapo DIT, Kama kuna mtu anelewa namna ya kujoin hapo aniambie, na muda wa kozi vile vile..
Hzo course za Eagle wings hazipo DIT kama amepiga fresh Math, Physics, Chemistry/ English mwambie akomae na Telecommunication Engineering ila kumaliza DIT salama ni jambo la Kumshukuru Mungu.
 
Nina Shahada ya Elimu(Sanaa),
Advance nilisoma HKL. Je, naweza
kusoma Electrical ngazi ya Diploma?
Kama O'level ulifaulu kwa ngazi ya C haya masomo unaweza
Mathematics, Physics, Chemistry/English otherwise huwez kusoma course yoyte DIT. Na diploma ya DIT ni miaka 3 ata kama ulifaulu f6 ila hukupata chance ya kujiunga na Bachelor.
All the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…