Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

Wakuu mwenye ufahamu na hii course ya biomedical engineering!! Inahusu nini na uwanja wake wa ajira au kujiajiri ukoje
 
Habar:Naomba kusaidiwa Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato cha nne2016 na kupata division four point 30 ambayo ni English D,biology C,Civics D,kiswahili D,physics F,MathematicsF geography F,HistoryF,Chemistry F,baada ya hapo mwaka 2017 nkaenda VETA nakuchukua cozi ya umeme ambayo nimehitimu mwaka huu2019 katika ngazi ya LEVEL3 naomba kuuliza kwa wanaojua nahitaji kuendelea na LEVEL 4 je ninaweza kwendelea kwa hivyo vigezo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je kwa yule aliyetoka VETA na akawa na level 3 anataka kuingia LEVEL4 hapo wanaangalia pia cheti cha form four
Sent using Jamii Forums mobile app
 
fika tu DIT reception utapewa mahitaji yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] yule mzee hatar ... afu huchoki kuandika notsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arusha Technical College wana course moja wiki kumi inaitwa Pre Technology programme. Hii wanachukua wanafunzi waliofaulu vizuri VETA level III wanafanya hiyo course kwa wiki kumi, wanafanya mitihani wakifaulu wanajiunga Diploma
 
Habari Ndugu wana JF, Naombeni msaada kidogo, kwa anayefahamu au anayesoma katika chuo cha dar es salaam Instute Technology (D. I. T) naomba anifahamishe utaratibu wa kujiunga na kozi ya Information Technology (I. T) kwa ngazi ya Certificate na Diploma, kwa mawaka huu 2020
Nahitaji kujua mwongozo na Yanayohitajika mana nimemaliza shule mwaka 2019, ikiwezekana na Ada nijulishwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ingia website ya chuo
Sent using Jamii Forums mobile app
 

mkilamweni wa electrical ama
 
Hi Wadau, Samahani, Naomba Mnieleze Kuhusu Hii Kozi BACHELOR OF LABORATORY SCIENCE AND TECHNOLOGY ya hapo DIT inahusu nini hasa, maana nimechaguliwa kusoma hiyo lakini sijaijua vizuri.

nadhami sasahivi umeshaijua.....humo ndani unasoma prigramming na analogy electronics [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…