Dar es salaam Institute of Technology (DIT)

Sir_Finus

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
330
Reaction score
139
Mwenye taarifa zozote za kinachoendelea pale DIT mpaka sasa atujuze maana hamna join instr. Wala majina yaliyotolewa wala habari yoyote kwenye site ya chuo... Also mwenye uzoefu wa hapo, hostel rum wanakaa wangap? Kupanga maeneo mazur ni wap? Na sh ngap?
 
Ongera kijana kama umechaguliwa DIT ukweli sijawahi kujuta kwa kusoma dit nitaikumbuka daima imenitoa jitaidi ufanye vizuri utaniambia
 
dit roomwatu 2 ila first year hawakai main campas.....wanakaa hostel za chang'ombe
 
wanaoendelea na usajili pale tupeni details naskia mambo ni magum room haztosh!
 
Jamani naombeni ushauri na mtt wangu kamaliza 4 mwaka jana kapata masomo yote E kasoro mahesabu F anaweza pata nafasi dit kusoma coz ya I.T
 
Tafuta chuo kingine DIT hawachukui wa hivyo,huwezi pata chuo cha uandishi wa habari?
 
Back
Top Bottom