Ongera kijana kama umechaguliwa DIT ukweli sijawahi kujuta kwa kusoma dit nitaikumbuka daima imenitoa jitaidi ufanye vizuri utaniambiaMwenye taarifa zozote za kinachoendelea pale DIT mpaka sasa atujuze maana hamna join instr. Wala majina yaliyotolewa wala habari yoyote kwenye site ya chuo... Also mwenye uzoefu wa hapo, hostel rum wanakaa wangap? Kupanga maeneo mazur ni wap? Na sh ngap?
chek kwa websity yao washatoawhatz going on right there?
Ongera kijana kama umechaguliwa DIT ukweli sijawahi kujuta kwa kusoma dit nitaikumbuka daima imenitoa jitaidi ufanye vizuri utaniambia
Ongera= Hongera, jitaidi=Jitahidi
Tafuta chuo kingine DIT hawachukui wa hivyo,huwezi pata chuo cha uandishi wa habari?Jamani naombeni ushauri na mtt wangu kamaliza 4 mwaka jana kapata masomo yote E kasoro mahesabu F anaweza pata nafasi dit kusoma coz ya I.T