Dar es Salaam is the busiest air route for Kenyan airlines

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,074
Sasa nimeelewa kwa nini wakenya waliomba po kipindi kile JK na Mzee Sitta (RIP) walipopiga stop KQ kuja Dar es Salaam.
Kulingana na ripoti ya IATA, kumbe route ya DAR-NBO inaongoza kwa kuwa na wateja wengi sana na hata KQ wanalijua hilo. Sijui lini ATCL wataanzisha DAR-JRO-NBO!
Busiest passenger routes for Kenya and other cities in order are:
1. Dar es Salaam
2. Entebbe
3. Dubai
4. Addis Ababa
5. Jo'burg
For the curious ones, ripoti inaitwa 'Value of Aviation Report for Kenya'
 

Now I know why this Airline is Going to die
 
Tukiwaambia kwamba Kenya inaitegemea Tanzania kwa kila kitu huwa wanabisha. Jambo la kujiuliza ni kwamba, kipindi ambanjo hapakuwa na ushindani katika hizo "routes" kuu mbili za Dar es Salaam na Entebe, bado KQ ilipata hasara, sasa hivi zote zinaushindani, KQ itapata nini?
 
Mkuu ulichoandika ni kweli kbs,KQ katika masoko yake muhimu na tegemezi ktk kusurvive kwake Tanzania imo,wana route nne kila siku hapa na almost zote ziko full.Tukiamua kugawana nao hawa abiria watadata interesting part ni kwamba ATCL iko na advantage nyingi sana ya kuigalagaza KQ......nyingi tu.
-Kuwa na ndege mpya za kisasa (nani atataka apande mfupa wkt kuna kitu pamba kinaenda pande hiyo hiyo 😂.obvious)
-KQ ina hali mbaya ya kipesa wkt ATCL ndo kwanza inashamiri,tunaweza kushusha bei kdg chini ya KQ kwa jinsi ilivyodhoofika haiezi fuata huko chini,Tunatembea tu na margin ka marathon flani lazima wasande pumzi ya kushindana na ATCL, KQ haina huo ndo ukweli.
 
Na nahisi moja ya hizi Airbus A220s mpya zilizoagizwa itakuwa ya Nairobi. Lazima wataomba pooh na hiyo mikweche yao sijui Embraer!
Fuel efficiency na passenger comfort ya A220 is UNMATCHED!
 
Na hizi mpya zilizpagizwa tumetaka ziwekwe screens na WIFI kama, nani atapanda "vyuma chakavu vya KQ?".

Wakenya piteni huku muone jinsi mnavyotutegemea.

cc. Tony254
 
I thought ungeleta comparison za revenues, busy na pesa za madafu wapi ni wapi, Kq flies to china, New york,London daily
 
Na nahisi moja ya hizi Airbus A220s mpya zilizoagizwa itakuwa ya Nairobi. Lazima wataomba pooh na hiyo mikweche yao sijui Embraer!
Fuel efficiency na passenger comfort ya A220 is UNMATCHED!
Sure mkuu hii ni threat kubwa sana kwao nawapa pole ila ni best move kwa Tanzania kama kweli tunataka kutimiza azma yetu ya kuwa Hub,East and Central moja ni kuwa na Strong National carrier pia tukipata wasaa wa kufumua jengo la abiria TB 2 wkt wa marekebisho ATCL ipewe kipaumbele kikubwa kwny upande wa lounge,bridges na parking bay hapo tutakuwa sawa sawa.
 
This is the only thing that your mama gave you?,,,,a big head with no brain??
 
I thought ungeleta comparison za revenues, busy na pesa za madafu wapi ni wapi, Kq flies to china, New york,London daily
Wee endelea kujigamba tu, wkt reality ni kwamba mnaendelea kuzama,siku hadi siku mambo yanazidi kuwa magumu, tambo hazitawasaidia tulizeni akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…