Dar es Salaam is the busiest air route for Kenyan airlines

Dar es Salaam is the busiest air route for Kenyan airlines

KQ knows better how significant is Dar market to em, yabidi mtushukuru sana. Siku tukianza joberg-Dar- Nairobi KQ will be in death bed,
Kabisa mkuu,UG nao watazidi kuwadhoofisha, juzi juzi tu wamenunua ndege mpya,route ya NBO -EBB-NBO nayo pia iko mashakani!!!!.Pigo jingine.Kwa hesabu za haraka haraka ATCL ina nafasi kubwa sana ya kukamata soko la Afrika mashariki na kati pamoja na kusini mwa Afrika.
 
Kusini mean Afrika wapi? Ikiingia Kwa Ramaphosa inakamatwa na mkulima 😂😂😂😂
 
Na kamwe hamtapata hio leseni ya kuja Nairobi. Tutawazungusha hadi mkae chini.
Bahati nzuri jiwe hajaribiwi pia ni mtu wa visasi saana bad enough kenyatta now ni pro jiwe
 
Ila wewe ni mtu wa ajabu sana. Ndege ndogo za watalii between NBO & DAR? Report ya IATA ilikuwa inaangalia CITY PAIRS not routes za mbugani. The only aircraft that flies DAR-NBO za KQ ni Embraer E-190.
PILI, your statistics are outdated. Hii ni report ya IATA ya 2019 wewe unaleta stats za 2016/17.
TATU, Kungekuwa hakuna wateja basi management ya KQ wote ni wajinga kuweka ndege nyingi on that route (5x daily)
Ripoti ya IATA ambayo nimeweka hata link inaongelea kufusu nchi kwa nchi not NBO & DAR , wewe ndo ulingezea yako na kutaja NBO & Dar

1569327885075-png.1215001

Hii hapa ripoti kaisome mwenyewe,

Kwahivyo hapo IATA alikua anaonyesha bussiest route interms of Direct flights from any location in Kenya to any location in another country... Ndege ikitoka Wilson airport na ishuke serengeti na abiria ishirini... Thats a direct flight!

Ukisema direct flights kati ya NBO-DAR ni nyingi kwasababu ni 5 daily

1569503264554.png

Je utasema nini kuhusu NBO-MBA ambapo kuna 17 flights daily!

1569503382696.png

1569503418679.png
 
A whopping 120,000 aircrafts,,,sijai jua iyo,mimi husema ni JKIA inaongoza Kwa aeroplane movements
Hata mimi the first time niliskia mtu akisema hivyo nilimpinga, jamaa flani hua ni aircraft engineer anafanyia kazi kampuni inaitwa blue bird aviation (or smoething like that) ndo aliniambia hivyo.... baadaae nikaenda nika google nikaona kumbe ni ukweli
 
Punguza Ushamba, IATA ilipima Bussiest according to aircraft movements (Landing and takeoffs) not according to Passenger numbers... Route number one itakua ni Tanzania kwasababu ya ndege ndogo ndogo propeller planes ambazo hupeleka na kuregesha watalii kati ya mbuga za wanyama za Tz na Ke

Kutoka kwa hio IATA report.... Busiest interms of Direct flights arrivals (not passengers), most of these flights are tourist flights on small prop planes.
View attachment 1215001
Source

But in terms of Passenger numbers, these are the top 12 routes for KQ

Kenya-Airways-top-routes.png

Kama bado hujaelewa, wacha nikuelimisshe Zaidi. The bussiest airport in East and Central Africa is Wilson Airport Nairobi!!! Did you know that???? Wilson has more than 120,000 aircraft movement compared to JKIA 92,000, and incase you were wondering JNIA is 75,000 aircrafts movement while Kilimanjaro is 19,000

So with wilson being the busiest airport, Its mostly just small light aircrafts, hautawai kuona kina KQ,Emirates,Ethiopian hapa

aircraft-parked-at-wilson-airport-the-local-airport-in-nairobi-used-KRHR22.jpg

Wilson%20Airport%20-%20Apron%20_LR.jpg

AIRPIC.jpg
Lete data za 2019 acha kutuletea data za 2017.
 
Hata mimi the first time niliskia mtu akisema hivyo nilimpinga, jamaa flani hua ni aircraft engineer anafanyia kazi kampuni inaitwa blue bird aviation (or smoething like that) ndo aliniambia hivyo.... baadaae nikaenda nika google nikaona kumbe ni ukweli
Itabidi nianze kulipisha watu kwa dose ya siku
Utaanza kulipisha kufundisha watu broken English "smoething" hii ni English ya Kajiado! Bure kabisa..
 
Kabisa mkuu,UG nao watazidi kuwadhoofisha, juzi juzi tu wamenunua ndege mpya,route ya NBO -EBB-NBO nayo pia iko mashakani!!!!.Pigo jingine.Kwa hesabu za haraka haraka ATCL ina nafasi kubwa sana ya kukamata soko la Afrika mashariki na kati pamoja na kusini mwa Afrika.

1. KQ ni connector Airline kwamba wanaosafiri wengi kwa kupitia KQ hawafikii Nairobi tu ila wanaendelea na safari zao. Mf. Mganda anayesafiri kuelekea Ufaransa atakata tiketi moja toka EBB-NBO-CDG. Shirika lenye uwezo wa kuwasafirisha abiria kwa style hii kwenye route nyingi ndio ambayo itaweza kuitikisa KQ. Kwa sasa hivi UG Air na Air Tz zitabakia tu kugawana abiria wa direct (DAR-NBO au EBB-NBO).

2. KQ ina experience ya changamoto za usafiri wa angani kwa miaka 23 sasa tangu ibinafsishwe, experience ambayo Air Tanzania na Uganda Airlines zitachukua muda kupata. Pia ina legacy advantage nikimaanisha brand recognition na Code share agreements za muda mrefu. Haya mambo huchukua muda mrefu. Mfano mzuri sana ni Rwandair ambao wamekuwa sokoni kwa muda sasa lakini impact yao bado haijawa kubwa.

3. Ume-assume kuwa idadi ya wasafiri itabaki kuwa ile ile katika ukanda huu. Wasafiri wanavyoongezeka, mashirika pia yanaongezeka (au kukua) ili kukidhi mahitaji yao. Sasa hapa ndipo Air Tanzania na Uganda Airlines zinapaswa ku-concentrate efforts zao zaidi kwa sababu wasafiri wageni ambao hawajawahi kusafiri na ndege watashawishika kirahisi zaidi kutumia airline mpya.
 
Back
Top Bottom