Dar es Salaam: Kamishna Mkuu wa TRA akutana na mtendaji mkuu wa benki ya NMB

TRA Tanzania

Senior Member
Joined
Jul 16, 2022
Posts
128
Reaction score
370


Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda leo tarehe 21.11.2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna ambapo wamezungumzia mambo mbalimbali ya kikodi.
 

Kwahiyo?

Hii inamsaidia nini mwananchi wa kawaida?

Hii itasaidia kuondoa kodi lukuki mnazokwapua?

Kwahiyo hii taarifa makini kutoka TRA?

Kuna shida kubwa.
 
Kuchungulia account za watu zenye hela, ili kudai kodi, kukata hela juu kwa juu
 
Mnataka awatajie akaunt zenye pesa lukuki mkawakabe kodi?
Zile 700M za taifa stars mmekata kodi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…