Dar es Salaam kuna uhaba mkubwa wa sukari ni nini kanaendelea?

Dar es Salaam kuna uhaba mkubwa wa sukari ni nini kanaendelea?

Mshobaa

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
1,722
Reaction score
692
Hali ya upatikanaji wa sukari kwa hapa Dar es Salaam imekuwa mbaya kwa sasa, ni maduka machahe sana inapatikana na ukifanikiwa kuipata basi kama ulikuwa hujui inauzwa kati ya tsh 138,000 hadi 145,000 kwa mfuko wa kg 50 kutoka bei ya awali ya 120,000 ndani ya wiki moja tu, je bodi ya sukari ina taarifa hizi?

Tunaomba mamlaka ifuatilie hili suala kwa uharaka Kabla hali haijawa mbaya zaidi kwani inaonekana kupanda kwa Kasi ambapo sasa kilo moja Imeanza kuuzwa kati ya tsh 3000 hadi 3500
 
Kuna vitu tunapaswa kuondoka kabisa na kuacha kuvisikia, sukari shida, maji shida, umeme shida, mafuta shida... Sisi tutaweza nini. Hapo ukute inataka kupanda wameanza kuleta mizengwezengwe.
 
Back
Top Bottom