Dar es Salaam Mbagala hali ni hii

Dar es Salaam Mbagala hali ni hii

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
21,741
Reaction score
26,735
IMG_20240101_135946.jpg

USINYWE BIA KUNYWA MAJI YASIYO YA BARIDI YA KUTOSHA.
 
Mkuu tengeneza kishimo kisha tia barafu humo ukipata heat tuu unajitumbukiza chap na kutoka unaendelea na mishe
 
Utakufa chap!
Usiongeze maji kwenye rejeta ukiwa umezima injini ya gari linalochemsha.
Kweli kabisa tutakubadilisha jina mda sio mrefu.
Kuna jamaa yetu tulimpoteza hivihivi ilikuwa ni kipindi cha baridi kali kweli huku maeneo ya nyanda za juu kusini mwana alitoka tizi uwanjani baada ya tizi alikuwa akirudi nyumban akikimbia ili mwili usipoe alivyofika home breki ya kwanza bafuni ndo kufungulia maji ya baridi kilisikika kishindo tu puu kuja kucheki kuna nini mtu yuko sakafuni ndo ikawa nitokee hivyo
 
Na pombe inakausha maji mwilini hii ni tahadhari kwa wale wajuaaji wa nipe bia bardiiii nipige chap nipoze kiu.
Mimi nawashauri mpande miti kwa fujo kama ninavyofanya mimi kwangu hapa pichani.
IMG_20240101_162009.jpg
 
Na pombe inakausha maji mwilini hii ni tahadhari kwa wale wajuaaji wa nipe bia bardiiii nipige chap nipoze kiu.
Mimi nawashauri mpande miti kwa fujo kama ninavyofanya mimi kwangu hapa pichani.View attachment 2859355
Usiku mkuu unabugia ma kabondayoksaidi! Wala siyo jambo la kufurahia hilo! Panda mbali kidogo na nyumba!
 
Sasa sisi tusiomaliza kiu kwa kunywa maji yasiyo ya baridi tutafanyaje? Maana mimi bila kunywa maji ya baridi kiu haiishi naweza kupasuka tumbo!
MAISHA YAKO NI JUKUMU LAKO.
WHOSE LIFE IS IT ANYWAY.
JUKUMU LETU NI KUKUZIKA.
 
Back
Top Bottom