Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha Dar es Salaam, mtu mmoja amefariki Dunia kwa kupigwa na radi maeneo ya Kimara.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Kamishna Msaidizi (ACP) Mtatiro Kitinkwi amethibitisha kutoka kwa tukio hilo katika mvua iliyonyesha juzi Machi 22, 2023, taarifa zaidi zitafuata.