Dar es Salaam: Mwandishi wa Habari akutwa amefariki chumbani kwake

Hebu nyie filigisi mnaosema tiss au ccm wamemuua acheni ufala mnakera sana siku hizi watu hawaruhusiwi kufa ??
kweli stress sio kitu poa kabisa fanyeni kazi muache kuilaumu serikali kwa kila kitu
 
Mambo ya kupanga chumba halafu unaishi mwenye shida zake ndo hizi bora ukae hata na ndugu au hata manzi atakusaidia siku ya madhila kama haya
 
Kuna funzo kubwa sana hapa ktk andiko lako,ubarikiwe sana japo jina lako linanipa hofu na mashaka sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WasuKUMA wasipewe urais tena.
 
TISS wanasema michezo hii wameacha kufanya
mkuu una uhakika na hicho unachokisema!? au kuhusisha na TISS?! naona kwenye habari hapo imeandikwa alikua na kifafa, letc say "alikua ndani kikamshika ,kwakua hakukua na huduma ya kwanza akaanguka hali ya kua kang'ata ulimi kitu kilichopelekea akapata suffocation". umezingatia possibility kama hii!?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…