Dar eS salaam: Naibu Waziri Mkuu ameshuhudia utiaji saini kati ya TRA na TCCIA

TRA Tanzania

Senior Member
Joined
Jul 16, 2022
Posts
128
Reaction score
370

Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Doto Biteko ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya ushirikiano kati ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania, (TCCIA) katika kuboresha uhusiano na walipakodi. Halfa hiyo imefanyika hivi karibuni wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa TCCIA uliofanyika jijini Dar es Salaam.
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…