Dar es Salaam ni jiji lililojaa uchawi na husda

Dar es Salaam ni jiji lililojaa uchawi na husda

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Njia panda kila siku wanavunja nazi.

Watu wanafuga majini na kurogana kila kona.

Jiji limejaa husda na hii sababu wana maisha magumu.

Uchawi upo kila mahala ila Dar umezidi.
 
Vipi tena yamekukuta ebu tupe mkasa...............!
 
Vijana wa mikoani Dar imewakaa midomoni na akili. Kula hiyo nazi. Mateja wanazila na hawa.
 
Njia panda kila siku wanavunja nazi.

Watu wanafuga majini na kurogana kila kona.

Jiji limejaa husda na hii sababu wana maisha magumu.

Uchawi upo kila mahala ila Dar umezidi.
Kwani kwenu hamtaki kula chakula Kilichoungwa na nazi?Wewe jiokotee hizo nazi ukaungia mboga,hizo ni akili za kimaskini tu😂
 
Kwa mishale niliyo ikwepa, siamini kama ninaweza kurogeka hata kama uchawi upo...😎
 
Dar uchawi upo Ila inategemea level ya kipato.
Wenye pesa hawarogwi. Wanaorogeka Ni Hawa huku chini na ndio wanawatajirisha waganga na manabii feki kina Mwamposa, Mwakatage, Gwajima na wengineo.
Ukiona VX imepaki kwa Mwamposa ujue Ni ya Mwamposa. Hakuna mwenye v8 anayekwenda kwa Mwamposa.
 
Back
Top Bottom