Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kwani kwenu hamtaki kula chakula Kilichoungwa na nazi?Wewe jiokotee hizo nazi ukaungia mboga,hizo ni akili za kimaskini tu๐Njia panda kila siku wanavunja nazi.
Watu wanafuga majini na kurogana kila kona.
Jiji limejaa husda na hii sababu wana maisha magumu.
Uchawi upo kila mahala ila Dar umezidi.
Umekuwa Humphrey Polepole na uchawi ndani ya ccm?Kwa mishale niliyo ikwepa, siamini kama ninaweza kurogeka hata kama uchawi upo...๐