Dar es Salaam ni Kiarabu maana yake Bandari!

Dar es Salaam ni Kiarabu maana yake Bandari!

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Kazi kwenu si mlikataa kubadiliaha jina sasa “wenyewe” wamekuja kuchukuwa Bandari yao, jina letu la Mji wetu ni Mzizima na siyo Dar es salaam kwanza (Dar es slaam) jina baya hata kulitamka ni shida, …
 
Kama wataendesha kwa ufanisi sawa tu
Importers wao wanachoangalia kwao ni utokaji kwa mizigo yao kwa haraka na bila longolongo
Mambo mengine watajuana wenyewe huko juu

Ova
 
Kazi kwenu si mlikataa kubadiliaha jina sasa “wenyewe” wamekuja kuchukuwa Bandari yao, jina letu la Mji wetu ni Mzizima na siyo Dar es salaam kwanza (Dar es slaam) jina baya hata kulitamka ni shida, …
Atapatikana Rais atakaebadilisha jina lirudi lile la Kizaramo asilia Mzizima❤️
 
Back
Top Bottom